Bandarini ni Port Charges ambavyo ni kiasi kidogo kama laki tatu na point na storage charges tu inategemea kama hutochukua muda mrefu kutoa gari yako maana storage huwa inahesabiwa kwa siku ushuru ni TRA,halafu wakala wa meli pia wana heal unatakiwa kuwalipa,na agent.Kazi inakuwaga kwenye...
Habari zenu humu! kwa wale walio apply majina yenu hayo yametoka kwenye magazeti ya leo
KUITWA KWENYE USAILI FAIR COMPETITION COMMISSION (FCC) ,MACHI 2014
INVITATION FOR INTERVIEW
The Fair Competition Commission (FCC) hereby notifies the following short-listed candidates who had...
Ukulima wa vitunguu kwa kweli ni mzuri na una faida kubwa kuliko kufikiria kuajiriwa ingefaa vijana tuwekeze kwenye kilimo vitunguu vinalimwa sana maeneo ya Morogoro na Iringa
Acha kashfa umeona Iringa ndo wana njaa sana eehh? Halafu chuki za ukabila huo ujue kutaja mikoa wakati Tanzania tunakataa ukabila haijakaa sawa kabisa
kupata GPA ya 1 au upper second sio guarantee kwamba utakuwa competent at work they are very wrong kwa kweli ni graduates wangapi hapa TZ wanamaliza vyuo wakiwa watupu kichwani na wakiingia kwenye interview wanatoka kapa? huku ukiangalia vyeti amescore high GPA kazi inahitaji how competent you...
Oa wa kwanza huyo wa pili pia kuna possibility akitongozwa na mtu na kumuona wa kufaa atakukimbia akitendwa arudi kwake kwasababu keshaona we ndo wa kumuondolea machungu pale anapotendwa
Hii ni point kwa kweli tunateseka sana na foleni barabarani na kupoteza muda unafika nyumbani umechoka sana halafu unakuwa na wajibu wa kujihimu asubuhi sana kwenda kibaruani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.