Nimgaya shida! wehehe mpo?

Nimgaya shida! wehehe mpo?

Asante sana kwa kumfahamisha maana watu huwa wanadandia treni kwa mbele..nalipenda sana kabila langu mnyalukolo ndi mgaya sida
 
wahehe wote si wanawake si wanaume ni watu ambao hawapendi kupelekwa pelekwa..na mara nyingi husimamia kwa kile wanachokiamini....ndo maana misemo kama ndimgaya sida ni maarufu sana hii ni kwa sababu hawapendi kunyanyaswa.....hivyo huoona bora kufa njaa kuliko kunyanyasika kisa njaa zako...pia wahehe tunatumia msemo wa na lunoge lweki.... hii ikiwa na maana kwa kiswahili kuwa hata ikipendezeshwa ya nini....msemo huu nao humjengea ujasiri mhehe na kumfanya kuwa imara muda wote...mara nyingi wahehe ni watu waaminifu sana...wachapakazi na wavumilivu....wanawake wa kihehe walikuwa wanafundwa kama yafanyavyo makabira mengine...ni watu ambao wametulia sana na wanajiheshimu .......ukimuoa mwanamke wa kihehe jua umeoa jembe...maana asilimia kubwa ni wachapakazi enzi na enzi na kule uheheni zamani kipimo cha kuoa mwanamke ilikuwa je anajua kulima? ndo hulka imejengeka mpaka sasa

lakini naomba nikuonye kwenye hiki kizazi cha technolojia na teke linalokujia mambo ni tofauti sana...kwa hiyo si ajabu ukamkuta mwanamke wa kihehe mwenye tabia tofauti ya ulizozitaja hapo juu...mwingiliano wa tamaduni umebadili mambo mengi sana na mfumo mzima wa tamaduni zetu si wahehe tu ni makabila mengi..hivyo kuwa mwangalifu..mambo ya makabila kweli zamani yalikuwa sahihi..yaani ukiambiwa kabila fulani liko hivi ni kweli linakuwa vile ila huu mwingiliano hiyo dhana ya tabia kulingana na makabila futilia mbali
 
watamu sana aisee
Heshima kwenu wakuu!

Kwakweli siwafaham kiundani ndugu zangu wahehe zaidi yakuwasoma kwenye historia! Ila napata sifa za mabinti wakihehe' pia kuna wengine wananionesha hata mifano ya ndoa za watu waliofanikiwa kuishi na wanawake wakihehe.

Wanawake wakihehe wanasifiwa sana na baadhi ya sifa zao ni ;
1) kujiamini na kujitambua

2) Hawana tamaa' yaani ni watu wakuridhika nawalicho nacho na ndo hapo linapotokea neno NDIMGAYA SHIDA (kwamba hata kama ananjaa ukitaka kutumia njaa yake kumpata atakwambia sina shida)

3) walezi wazuri wafamilia

Hizo ni baadhi tu ya sifa nilizozipata!

Hata hivyo kila kizuri hakikosi kasoro' nawao pia naambiwa
1) wana hasira saana

2) wanapenda kudekezwa na kubembelezwa saana!

Huo ni wasifu mdogo nilioupata juu ya hawa wanawake wakutoka Iringa!

Najua tunawehehe wengi hapa jukwaani hivyo nategemea kupata uhalisia kutoka kwao au mtu anaewafaham vizuri hawa ndugu!

Kama wewe umeoa mhehe ebu tupe uzoefu.

Karibuni wandugu.
 
wahehe wote si wanawake si wanaume ni watu ambao hawapendi kupelekwa pelekwa..na mara nyingi husimamia kwa kile wanachokiamini....ndo maana misemo kama ndimgaya sida ni maarufu sana hii ni kwa sababu hawapendi kunyanyaswa.....hivyo huoona bora kufa njaa kuliko kunyanyasika kisa njaa zako...pia wahehe tunatumia msemo wa na lunoge lweki.... hii ikiwa na maana kwa kiswahili kuwa hata ikipendezeshwa ya nini....msemo huu nao humjengea ujasiri mhehe na kumfanya kuwa imara muda wote...mara nyingi wahehe ni watu waaminifu sana...wachapakazi na wavumilivu....wanawake wa kihehe walikuwa wanafundwa kama yafanyavyo makabira mengine...ni watu ambao wametulia sana na wanajiheshimu .......ukimuoa mwanamke wa kihehe jua umeoa jembe...maana asilimia kubwa ni wachapakazi enzi na enzi na kule uheheni zamani kipimo cha kuoa mwanamke ilikuwa je anajua kulima? ndo hulka imejengeka mpaka sasa

lakini naomba nikuonye kwenye hiki kizazi cha technolojia na teke linalokujia mambo ni tofauti sana...kwa hiyo si ajabu ukamkuta mwanamke wa kihehe mwenye tabia tofauti ya ulizozitaja hapo juu...mwingiliano wa tamaduni umebadili mambo mengi sana na mfumo mzima wa tamaduni zetu si wahehe tu ni makabila mengi..hivyo kuwa mwangalifu..mambo ya makabila kweli zamani yalikuwa sahihi..yaani ukiambiwa kabila fulani liko hivi ni kweli linakuwa vile ila huu mwingiliano hiyo dhana ya tabia kulingana na makabila futilia mbali

Hahahaha'' Lunoge lweki!! Heshima nyingi sana kwako mkuu' zaid nimeongeza msamiati wakihehe' ''LUNOGE LWEKI''

Wamwagito na wasegito kujen mtupiemo yenu yanayokosekana hapa!
 
wahehe wote si wanawake
si wanaume ni watu ambao hawapendi kupelekwa pelekwa..na mara nyingi
husimamia kwa kile wanachokiamini....ndo maana misemo kama ndimgaya sida
ni maarufu sana hii ni kwa sababu hawapendi kunyanyaswa.....hivyo
huoona bora kufa njaa kuliko kunyanyasika kisa njaa zako...pia wahehe
tunatumia msemo wa na lunoge lweki.... hii ikiwa na maana kwa kiswahili
kuwa hata ikipendezeshwa ya nini....msemo huu nao humjengea ujasiri
mhehe na kumfanya kuwa imara muda wote...mara nyingi wahehe ni watu
waaminifu sana...wachapakazi na wavumilivu....wanawake wa kihehe
walikuwa wanafundwa kama yafanyavyo makabira mengine...ni watu ambao
wametulia sana na wanajiheshimu .......ukimuoa mwanamke wa kihehe jua
umeoa jembe...maana asilimia kubwa ni wachapakazi enzi na enzi na kule
uheheni zamani kipimo cha kuoa mwanamke ilikuwa je anajua kulima? ndo
hulka imejengeka mpaka sasa

lakini naomba nikuonye kwenye hiki kizazi cha technolojia na teke
linalokujia mambo ni tofauti sana...kwa hiyo si ajabu ukamkuta mwanamke
wa kihehe mwenye tabia tofauti ya ulizozitaja hapo juu...mwingiliano wa
tamaduni umebadili mambo mengi sana na mfumo mzima wa tamaduni zetu si
wahehe tu ni makabila mengi..hivyo kuwa mwangalifu..mambo ya makabila
kweli zamani yalikuwa sahihi..yaani ukiambiwa kabila fulani liko hivi ni
kweli linakuwa vile ila huu mwingiliano hiyo dhana ya tabia kulingana
na makabila futilia mbali

kwahiyo sisi tuliooa wahehe tumeoa majembe au sio? ngoja nikalale na jembe langu!
 
Hahahaha'' Lunoge lweki!! Heshima nyingi sana kwako mkuu' zaid nimeongeza msamiati wakihehe' ''LUNOGE LWEKI''

Wamwagito na wasegito kujen mtupiemo yenu yanayokosekana hapa!
ha ha ha ha....ukimgasi sana atakuambia "yeeeee be na lunoge lweki......."Akikuambia hivyo jua haangahiki na wewe tena....
 
Ufafanuzi tafadhari' maana hapo umeniacha kitonga! Au nimuulize dadaako?

ha ha ha ha.....hayo ni maneno ambayo huwa yanaibwa wahehe tunapoozesha yaani huyo tumekupa ni kioo usimpige wala kumfinaya...
 
Back
Top Bottom