Ahhhhhh wanatakana hao suluhisho ni kukaa nao kikao kimoja cha pombe then wakishalewa mnawaweka hotelini chumba kimoja baada ya hapo mtawaona wanaheshimiana na wakikutana kila mmoja anang'ata kucha
Kaka mimi nadhani doubt ya watu sio kwamba hizo RAV4 hazifiki bei hiyo wengi wetu tunajuwa kuwa Rag 4 brand new ni expensive ila sasa doubt ya watu ni je hizo RAV4 zitanunuliwa kweli brand new? Kwa uzowefu tulionao wengi wetu na serikali yetu watanunua second hand kama kawaida na kuzipiga polish...
Kaka kuunda tume sio kazi kazi ni kutekeleza maoni na mapendekezo ya matokeo ya Tume! Iliundwa tume ya katiba hapa kwa mbwembwe ila furaha yote ikawa shubiri kwa walewale walioiteuwa tume baada ya maoni na matokeo ya tume kuwa kinyume na matakwa ya watawala! So let's keep watching the series...
Hahahahaha! Tz ni zaidi ya tunavyoifahamu, kumekucha Bunge la katiba uchaguzi wa kwanza wafanyika na kura baada ya kuhesabiwa zikakutwa zinazidi idadi ya wajumbe walioko ukumbini! Uchaguzi warudiwa kaazi kwelikweli kama ni kweli basi ukijipindua tu katiba inachakachuliwa
Duh kwa mara ya kwanza na itakuwa world record kwa mtoto kutumia Tablet huku akiwa kakaa juu ya jiwe chini ya mti au ndani ya kijengo cha udongo na uniform zilizochanika makalioni! Think big viongozi wetu.
Sasa chief hapo wewe hutakiwi kusumbua kichwa anayetakiwa kusumbua kichwa ni huyo anayelinunua kwani makodi mengi ni applicable kwa importer than exporter na natumaini pia anayelinunua ndiye atakayegharamia usafirishaji wa hilo gari! Wewe kama uliliadvertise kwa dollar 2000 basi utachukua dollar...
Duh kazi ipo watu hadi wanadiriki kubebesha maiti madawa ya kulevya? Kweli dunia kwishney! Lakini mimi nataka kuuliza kidogo mnifafanulie hili swala linanitatiza sasa huyu marehemu alimeza haya madawa akiwa hai then akafariki baadae au hawa jamaa waliichukua maiti wakaisokomezea madawa? Manake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.