Nataka ku-export gari yangu, naombeni utaratibu

Nataka ku-export gari yangu, naombeni utaratibu

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,626
Nimeliweka mtandaoni gari langu (Toyota Allex) nataka kuliuza, kuna jamaa mmoja toka India anaitaka.

Je kuna gharama zozote TRA wanakata unapouza gari nje?

Shipping ni gharama ya nani?

Naombeni msaada wenu.
 
Sasa chief hapo wewe hutakiwi kusumbua kichwa anayetakiwa kusumbua kichwa ni huyo anayelinunua kwani makodi mengi ni applicable kwa importer than exporter na natumaini pia anayelinunua ndiye atakayegharamia usafirishaji wa hilo gari! Wewe kama uliliadvertise kwa dollar 2000 basi utachukua dollar 2000 zako then huyo buyer atamalizia the rest! Kwa hiyo yeye ndio afatilie sheria za huko India akiwa tayari wewe unabook shipping company tu unalidumbukiza melini then unamtumia buyer documets! Bill of leading baaasi business done. Ila umpe Quotation ya shipping costs ili akutumie pesa mkuu
 
Back
Top Bottom