Mm sioni la maana aliloongea kwa sababu ktk tafiti za ukuaji wa dini duniani Uislam ndiyo dini inayoongoza kupanuka zaidi ktk pande zote za mabara yote!!
The hard way is the only way!! Tunawapenda walaaji was mabondeni ila hali ilipofikia sasa in bora tuumie kwa muda mfupi lakini tupate suluhu ya kudumu, Nimeshawahi kuishu kinondoni Moscow jirani na msikiti wa Bi lela ninajua watu wanavyoteseka wakati was mvua!! Wakati umefika wahame no way out!!
Kumpinga Magufuli kwa mwana Chadema ni sawa na kumpinga mwasisi wao was Chama, Mh Edwin Mtei na in kuonesha ulofa na upumbavu wa wanachama was chadema!!
Ndugu mtoa Mara hujafafanua msomi ktk taaluma IPI, maana sidhani mwanamke msomi ktk fani ya dini au masuala ya ndoa na familia atakuwa saw a na wa Rani nyingine , pili mapenzi fall anywhere, ndoa nyingi Leo watu wanaangalia status ya MTU has a kipato elimu sio mapenzi MTU at a act yuko in love...
Jamaa kazi anayo maana mikataba inategemea watangulizi walisaini vipi ktk makubaliano gani? Magufuli yy atadili na Yale yaliyo chini take kulingana na sheria!?
In kweli hali hiyo inasababishwa na Hugo unaye sex nae au hao unaokutana nao wewe una nyota ambayi unataja usafi haipenfi uchafu ukioa mwanamke was nyota yako hiyo hali itaondoka na ndiyo hiyo soul connection inayoongelewa na mtoa mada ingawa hakubezi sana ktk hili nalokupatua
Nakubaliana na we we ndugu kwa 98%. Na kuongeza kidogo ktk uumbaji bunadamu huanza na viungo vya uzazi hii INA maana take ktk athari za kiukuaji kwa viumbe. Spiritually pia tunaona kila siku watu wakishikamana ktk ndoa zao na maisha hunyooka vzr ila wakianza kusuguana ktk relationship yao hats...
Huyu Ndio mpambanaji mpaka Nyerere aliweza kumpinga sio hawa wa leo kujipendekeza tu kwA Nyerere ili waonekani watu RIP mkuu ngangari ww! utakumbukwa kwa ujasiri wako!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.