Recent content by shiteterande

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kuoa mrembo wa KIMERU

    mimi nimeolewa na mmeru, wameru wanahasira sana, na msimamo pia. kwa upande wa wanawake ni wajeuri sana
  2. S

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Katika Uwanja wa Soweto Jijini Arusha

    bado hawajaanza kuaga, tunawasubiri viongozi wa chama cha chadema. nafikiri itachukua muda sana. ila inasikitisha . kweli chadema wako vizuri wanajali sana watu na sio vitu!!!!!!!!!!!!!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Katika Uwanja wa Soweto Jijini Arusha

    No one can confidently say that he will still be living tomorrow.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nassari kupelekwa KCMC

    Imefahamika hali ya Nassari si nzuri kunauwezekano akaenda KCMC. tafadhali kama kunamtu anaweza kutujuza zaidi kuhusu hili.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Katika Uwanja wa Soweto Jijini Arusha

    Uwanja wa soeto leo watu wamejaa sana, wanasubiri kuwaaga marehemu waliofariki katika mlipuko wa bomu. Wananchi hawataki askari police tena, wanajeshi ndio wametawala uwanja tu. Viongozi wote wa chadema wameenda kwa mkuu wa mkoa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    bado chadema wako vizuri
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hali ya Kamanda Nassari

    mbona umekuwa kimya tena please updates!!!!!!! tunasubiri kwa hamu kujua kinachoendelea
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Arusha: CCM waanza kuchochea udini wahanga wa BOMU mkutano wa CHADEMA

    Kweli hii ni kali!!!!!!!!!!!!!!!! Ccm kweli inakurupuka
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hali ya Kamanda Nassari

    Vipi mbona umetoka!!!! Lema anasemaje kuhusu nasari please
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hali ya Kamanda Nassari

    namaanisha, wakiona hali ya Nassari si nzuri wampeleke KCMC au njee ya hapa, uku tukimtegemea mungu juu ya uponyaji!!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hali ya Kamanda Nassari

    Makamanda inabidi wafanye kazi ya ziada kuokoa maisha ya Nassari
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hali ya Kamanda Nassari

    khali ya kamanda Nasari nasikia si nzuri, nimepata taarifa amepelekwa ICU je ni kweli, wenye taarifa kamili watujuze jamani!!!!!!
Back
Top Bottom