Recent content by SHINYAKA

  1. SHINYAKA

    Niulize juu ya ugonjwa wako nikwambie tiba ya maji ya matunda za mboga za majani

    Kamanda KAZI, Nifahamishe nifanye nini! Nasumbuliwa na maumivu kuanzia chini ya mgongo kupitia ndani ya matako kutelemkia mapajani kwa nyuma hadi miguuni kwenye nyayo na kupata ganzi wakati mwingine Kama moto. Nini Tiba yake?
  2. SHINYAKA

    Niulize juu ya ugonjwa wako nikwambie tiba ya maji ya matunda za mboga za majani

    Kamanda Asante kwa Utoaji Hugo, Aliye tuumba Atakuja yaliyo mema
  3. SHINYAKA

    Napata maumivu ya nyonga wakati wa usiku

    Asante kwa ushauri wako ndugu.
  4. SHINYAKA

    Napata maumivu ya nyonga wakati wa usiku

    Hapana sijawahi fanya hivyo.
  5. SHINYAKA

    Napata maumivu ya nyonga wakati wa usiku

    Mimi ni mwanaume 64yrs
  6. SHINYAKA

    Napata maumivu ya nyonga wakati wa usiku

    Wana JF Doctor, Naomba msaada wenu, napata maumivu sana. 1. Usiku wakati wa kutaka kulala nyonga yangu huniuma sana mpaka nitulie kwa kulala chali. 2. Asubuhi nikitaka kuamuka napata maumivu makali kama ya misuli sehemu ya katikati ya matako kuja kwenye mapaja kwa nyuma, hali hiyo hunichukua...
  7. SHINYAKA

    Naomba kujua pa kupata dawa inayoitwa Bio-Tab for Septic system

    Salaam wadau, Naomba anayefahamu madawa haya yanauzwa wapi tufahamishane. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. SHINYAKA

    Anayezifahamu Digitek Decoders anisaidie

    Wadau na wanajamii, heri ya mwaka mpya Jamani kama kuna mwanajamvi anajua kuhusu Decorder hii naomba msaada: 1. Namna ya kufanya dish installation 2. Namna ya ku update Nawasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. SHINYAKA

    Nahitaji AutoCAD 2019 software

    Kwa wale wataalamu wa software, nahitaji software niliyoitaja hapo juu. Aliyenayo tujulishane
  10. SHINYAKA

    Nini kinatokea endapo mtoto mdogo anaanza kuota meno mawili ya juu?

    Mkuu bado tunasuburia mengi kutoka kwako kuhusiana na mtoto kuanza kuota meno ya juu
  11. SHINYAKA

    Mtoto kuanza kuota meno ya juu

    JF Doctors nauliza, je! Yana matatizo kiafya? Maana yamesemwa mengi, mengine yanatisha. Kwenu wataalamu wa Afya!!
  12. SHINYAKA

    Njia rahisi ya kutotolesha vifaranga vingi bila kutumia mashine (incubators)

    Ushauri mzuri, lakini kama ni kuku wa kienyeji ukimbadilishia location tu, basi huyo atakuwa hataki tena kuatamia. Yuko ladhi kuanza kutaga upya.
  13. SHINYAKA

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Asante sana, Mimi swali langu ni hili. Nimeenda kijijini kutafuta mke wa kuoa, nimemkuta mwanamke akiwa anaishi kwao bila mme, niliulizia nikaambiwa wameachana na mme wake miaka mitano iliyopita. Nilichumbia kwao nikaoa kwa kutoa mahali. Je! Mume wake wa awali anaweza kuja kushika ugoni kwa...
  14. SHINYAKA

    Aina za wasukuma na kisukuma

    UTAFITI WAKO HAUNA MAANTIKI YA KABILA LA WASUKUMA. “UNACHANGANYA”
  15. SHINYAKA

    Nywele kusisimka ghafla pindi kuna hatari. Nini hufanyika hadi hali hiyo kutokea?

    Pole sana. Huo ni mlango wa Sita wa ufahamu (sixth sense), nakushauri tafuta kitabu kimoja cha psychology kinaitwa MAGIC POWER OF YOUR MIND. Utapata majibu yote humo. Au ingia kwenye Internet.
Back
Top Bottom