Recent content by Shinto

  1. Shinto

    JamiiForums Tanzania Sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha ndg Lwakatare

    Jibuni Hoja Ya Ugaidi Wa Lwakatare kwanza, ndipo tumjadili Mwigulu!
  2. Shinto

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Masuha wa UDSM afariki dunia

    Wanafunzi wa ME watapumua kidogo kukamatwa! RIP Prof!
  3. Shinto

    JamiiForums Tanzania Denis Msacky katoe sadaka ya shukrani kanisani

    Naona ndugu mnajitahidi ku-spin mambo, guilty conscience inawatafuna! Issue ni kuwa Rwakatare kayasema yale maneno au la?
  4. Shinto

    JamiiForums Tanzania The Citizen You Can't Be Serious!! Nyie ni Gazeti Makini!!

    kafulia tu lakini bado yuko town! Biashara ya mazingaombwe imeingia ushindani mwingi! Mzee wa upako, Ndege, Mwingira, Lwakatare, Kingu ......
  5. Shinto

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za ugaidi wa Lwakatare: Mwingine adakwa Bukoba

    Ripoti habari, hatuhitaji hisia zako hapa!
  6. Shinto

    JamiiForums Tanzania Thinking aloud: Je Lwakatare alitumwa na CCM?

    Ametumwa na CDM ndio maana anatetewa kwa nguvu zote, CCM wamenunua dili kutoka kwa Ludo ( ndio maana hatetewi na CDM!)
  7. Shinto

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

    Hivi Israel hawanunui MISUKULE? Nasikia yeye anakiwanda cha kuandaa hii bidhaa pale Bagamoyo!
  8. Shinto

    JamiiForums Tanzania Unalijua hili?

    Naichukia CCM sana, NAICHUKIA CDM zaidi!
  9. Shinto

    JamiiForums Tanzania Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

    Moja ya maamuzi ya kamati kuu ya CHADEMA juzi ni KULIONGEZEA NGUVU JESHI LA MITANDAONI! Naoni kazi imeanza
  10. Shinto

    JamiiForums Tanzania Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

    Hii hapa
  11. Shinto

    JamiiForums Tanzania Lissu afichua mapya sakata la Lwakatare

    Mi nadhani kazi ya mawakili wa CDM iwe kuonyesha kuwa mteja wao hana hatia, issue ya nani mwingine anahusika ni ya POLISI
  12. Shinto

    JamiiForums Tanzania Kifo cha CCM kimetimia

    Sio kila kichwa kinahifadhi akili!
  13. Shinto

    JamiiForums Tanzania Mahakama yawafutia kesi moja viongozi wa Uamsho Zanzibar

    Pengo kutoa tamko Jumapili
  14. Shinto

    JamiiForums Tanzania Tunapokea kero ambazo ungependa ziwasilishwe bungeni na wabunge wa CHADEMA

    Kero ya kuchinja, wachungaji katika chama walivalie njuga swala hili
  15. Shinto

    JamiiForums Tanzania Hodi wana CHADEMA

    Karibu kwenye chama cha Yesu!
Back
Top Bottom