CCM ipo siku itaondoka madarakani na kitakachoiondoa madarakani sio kwanba watanzania hawaipendi, na sio kwamba watanzania wanaupenda sana upinzani. Itaondoka kwa sababu tu serikali yake imeshindwa kutimiza matarajio na matamanio ya watanzania.
By mtoto wa seremala.
By mtoto wa seremala.