na kama na kukesha tena hiyo saikoloj ndio inavurugika kabisaaaaa.mana hilo tendo lenyewr ukiwa umevuruga maratibb nauum.yan taratibu za kupata usingiz ujue utachemka .mana sa hiv watu wanabet hadi mbio za mbwa huwez amin jombaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
ukitaka wa hofu na mungu na wewe uwe hivo hivo.birds of the same feathers............. !!!!! naaam hata wahenga wa kizungu wanalijua hili
Sent using Jamii Forums mobile app
sio vizuri kiafya unapojiskia haja kubwa au wazungu wanasema long call ni pale pale una itii.au kama upo vizuri na umekunywa glasi zako tatu za maji ya vuguvugu aubya moto kidogo ile alfajir umetia na asali utapata choo in less than a minute umeshusha mzigo wa maana.zingatia kula fibres food tu...
kwan ukienda kuoga si ndio unamaliza kila kitu huko sasa si utajulikana umeenda kuoga bora unge kuwa unatilia maanani kuwepo na air freshner mana ukitoka wewe mwenywe husikii harufu ila anayeingia sasa atatamani afe
Sent using Jamii Forums mobile app
Unga wa swaum (garlic) asee itakua ina chefua hivo vitunguu saum watu huwa wanameza vipunje.any way kwa hivo viungo vungine sio mbaya inakua nzuri. Na pia uongezee watu waache kuangalia pornography
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafiki siku hizi imekua jambo la kawaida kwa sababu watu wameacha mafundisho ya dini alama za mwisho wa dunia ujinga utapochukua nafasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.