Samahani wakuu

Samahani wakuu

chazdlamarck

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Posts
256
Reaction score
95
Mimi ni kijana nimehitimu kidato cha sita na now tunafanya app za mikopo sasa pindi tunafanya app za vyuo nilikutana na mdada mmoja ambaye kiukwel nilikuwa simjui na wala yeye alikuwa hanijui lakin kama mjuavyo wakuu mwanaume popote alipo lazima afanye jambo pale panapo stahiri
Sasa yule mdada tulitokea kuzoeana mno kila akija pale stationary tukawa tupo pamoja huwez amini app za vyuo tukachukua kama wiki mbili hivi coz tulihitaji kuonana kila siku cha ajabu nilipo mtokea huyu demu na kumtaka kimapenz alikubali lakin baada ya kama siku mbili akawa nikimtxt hajibu nikimpgia hapokei bas mwanaume nikaamua kupotezea maana hatukuwahi kufanya chochote kile
Juzi pindi tunaanza app za mikopo nikakutana nae tena nikampa hai kawaida nikaendelea na mambo yangu cha ajabu akamtuma rafiki yangu kuja kwangu eti ooo mbona nampotezea hivi na vile nikamwambia mwambie anitafute tuongee kesho yake tukakutana kweli tukaongea akaonekana kujirudi
Jaman wanawake ni shida jana tu kaanza kumtxt rafki yangu eti anampenda wala hanipend mimi na leo jamaa kaamua kunitonya ukweli kwamba demu anamtaka na jamaa amekataa sasa wakuu huyu manzi alitaka nini hasa kwangu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkopo wa chuo bado hujapewa tayari umeanza kubabaika na mademu je ukipewa mkopo na kwenda chuo sio ndio utakufa kwa ngoma au kudisco?
Mapenzi yapo tu,zingatia elimu kwanza.
Samahani lakini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DOGO TULIA YAAN TULIA KAMA ULIVYO ,, MAPENZI YENU HAYO YA KUKURUPUKA FINALLY UTA GRADUATE WITH AIDS AND NOT "A" ..... KAWAIDA MADEM WAMWAKA WAKWANZA NI WATOAJI MNOOO WA MIILI YAO KWASABABJ NIWASHAMBA . ..TULIA SOMA MAZINGIRA TAFUTA PARTNER .
 
Dogo kuna vitu vya kukupa mawazo kwa sasa ila sio hayo mambo kama unababaika na huyo demu uliokutanae stationary je huko chuo ukifika itakuaje. Kuwa makini zingatia kile kilichokupeleka basi inatosha.
 
Back
Top Bottom