Maisha ya chuo na baada ya kumaliza chuo

nikiwa mwaka wa pili chuoni niliapa haya ninayoyasoma sitaenda kuyatumia kama muajiliwa. nilihitimu 2013 hadi leo sijawahi kuandika barua ya kuomba kazi na namaoisha ya ujasiriamali yanaendelea bila stress na muulwa
Hiyo avatar yako huniachia maswali mengi sana. Ok! anyway
It is none of my business
 
nikiwa mwaka wa pili chuoni niliapa haya ninayoyasoma sitaenda kuyatumia kama muajiliwa. nilihitimu 2013 hadi leo sijawahi kuandika barua ya kuomba kazi na namaisha ya ujasiriamali yanaendelea bila stress na muulwa
Mkuu ulianza kwa kupiga mishe gani wakati uko chuo

Nokia ya Torch
 
J
 
Attachments

  • 1504038499914.jpg
    1504038499914.jpg
    53.9 KB · Views: 70
niliuza crabs or kaa and prawns kutoka nyamisati rufiji, pweza from mafia to dar nikiwa nasoma udsm
Hongera sana boss. ..vipii bado unafanyaa hii kitu. .?? unaweza kunipa moja mbili tatuu za hii biashara. .?

Nokia ya Torch
 
Hongera sana boss. ..vipii bado unafanyaa hii kitu. .?? unaweza kunipa moja mbili tatuu za hii biashara. .?

Nokia ya Torch
yaa tajiri but kati ya hao biashara ya kaa ndiyo ilikuwa imetulia sana but niliiacha toka 2012 na kuanza kufanya biashara ya taaluma yangu niliyokuwa nasomea. ukifika nyamisati ni bandari ya kwenda mafia. hapa ukifika kunawavuvu wanaovua hao kaa. kwa unakusanya na unawasafrisha kuwaleta dar na hasa pale mbagala kunamaangeti wengi wa wachina wanaonunua na kusafrisha china, malysia, singapo etc. hapa unauza kwa bei ya jumula. vile vile msasani kulikuwa na offisi wananunua pia. mtaji kati ya 1mill to 2mill. unatosha kuanzia. but mimi nakumbuka nilianza na 5laki by that time. cha msingi kama unahitaji kuifanya hiyo biashara naweza kukuunganisha na anget niliyekuwa namuuzia pale mbagala. pia naweza kukuunganisha na watu waliokuwa wananisaidia kukusanya mzigo huko nyamisati kwa ajili ya kujifunza zaidi hiyo biashara. faida yake imetulia but mara chache sana kupata hasara
 
Sawa Mkuu ..
Vipii naweza kuja PM. .??

Nokia ya Torch
 
Haya yote ni Maisha...

Ipo siku yatakwisha...

Leo mja nahangaika...

Mambo yamebadilika...
 
Aah yaan maisha ya chuo hatar nilikua naweza tumia hata laki mbil per day natoka out na mtoto mkali navuruga bila kuwaza km kuna maisha baada ya chuo yaan saiv nipo kitaani hela naipata kwa shida sna basi najutia zile millions of shilling nilivyozifuja maana ningejibana saiv ningekua mbal sna ki maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetisha mkuu, ndio maisha yalivyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom