Hivi mliooana huwa mnafanyaje kwenye hili jambo?

Mm nasimamisha zoezi la kunya hadi ajiskie kwenda kununua voucher,
Naaangalia videos online kwa makusud ili bundle lake liishe akanunue voucher, mm huku nyuma nakunya,hahaaa

thA God thA bubbs!!
sio vizuri kiafya unapojiskia haja kubwa au wazungu wanasema long call ni pale pale una itii.au kama upo vizuri na umekunywa glasi zako tatu za maji ya vuguvugu aubya moto kidogo ile alfajir umetia na asali utapata choo in less than a minute umeshusha mzigo wa maana.zingatia kula fibres food tu asubuh oats na ndiz punguza masoda soda


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hiyo kitu imenishindaga kunya au kujamba nikiwa na demu..

Kuna kama wiki nilikaa na demu hajawahi kuniona nikinya au kujamba mpaka akaniuliza "mwenzangu vipi? Wewe ni mzima kweli maana sijawahi kukuona ukiingia chooni". Nilikua namtoroka usiku mida ya wanga akiwa kalala naenda kukata gogo mtaa wa mbali!!!
Hahahahah

sent from TanDaLe
 
Mr Ebo alikataa kulala chumba kimoja na choo,,,,


Ndo maana kuna wimbi la magonjwa sku hizi,, kwani mavi n sumu kali saana na inasafr mpka mita 30 ..sasa pale unapo lala karbu na choo ile sumu inakuathili saana ww mpaka chakula unachotumia maana kinakua karbu na choo

Sent using Jamii Forums mobile app

MKUU,

KUWA SIRIYAZI,
TUSITISHANE BHANA!

INA MAANA TUHAME KWENYE SELF-CONTAINED ROOMS??!?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba nichangie kipande cha introduction..huko kwingine nahisi ulisahau simu akaandika mtoto wako wa drasa la pili wa hizi academy maana ndio hawanaga adabu kiasi cha kufuatilia wazazi wao vyooni.
Ni kweli dawa ya deni ni kulipa au KU KA TAA.....na sahivi mbinu mpya ni KAA MAA TAAA

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Tena mi napenda kushusha mzigo ule mda bae anaoga ili aninawishe na Mimi pia khaaa aibu ya nini
Na kama yananuka ndo safi kwani yeye ha pupu
 
Mr Ebo alikataa kulala chumba kimoja na choo,,,,


Ndo maana kuna wimbi la magonjwa sku hizi,, kwani mavi n sumu kali saana na inasafr mpka mita 30 ..sasa pale unapo lala karbu na choo ile sumu inakuathili saana ww mpaka chakula unachotumia maana kinakua karbu na choo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhhh hii kali mnoo kwani hicho choo hamflash? Na shimo la maji taka huwa mbali na hujengwa in a way that harufu ni nadra kurudi ndani sas ww hicho unachosemea ni cha shimo au?
 
Iki kituko,unashindwa kumuonea aibu mnapovuana nguo...unaona aibu akiwa kajificha..hauko serious

rap beast
 
weka TV,radio geto ukitaka kwenda kufanya maswala piga mziki tena weka nyimbo anazopenda bt kwa mm hua sioni shida naachia tu hata kujampa mara moja moja mbele ake siyo vibaya maana tushakua mwili mmoja so nikijampa mm ni sawa kajampa yy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnamchukulia kama joke lakin baadhi ya watu wanapunguza ile hamu kwako akipata harufu ya kinyesi so unaweza ukalalamika haufikishwi kumbe mwenzio ana kinyaa akikumbuka mabomu yako
 
Ukitaka ufuruhie self kontena maji yawe yanatoka muda wote na choo kiwe cha kizima kinaflash uchafu,,hapo mi hata ni kipuu maana maji mengi natumia na hutasikia hewa chafu,,kuna wengine wakienda chooni yaan kama vita vya tatu duniani jamani tunywe maji mengii

Choo kikiwa na maji yale ya kubipu hutaona raha ya self,,hapo inatakiwa kuwe na choo cha nje ,cha chumbani ni kuoga tu
 
Mr Ebo alikataa kulala chumba kimoja na choo,,,,


Ndo maana kuna wimbi la magonjwa sku hizi,, kwani mavi n sumu kali saana na inasafr mpka mita 30 ..sasa pale unapo lala karbu na choo ile sumu inakuathili saana ww mpaka chakula unachotumia maana kinakua karbu na choo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmhhh basi wazungu wangeongoza kufwaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom