Hivi mliooana huwa mnafanyaje kwenye hili jambo?

kwema jamani?
poleni kwa kukamatiwa ndege yetu huko canada ila ndo hivyo dawa ya deni ni kulipa tu,ubabe sio issue kivile kwenye kulipa madeni ya watu.
niende kwenye kilichonileta huku jf leo,nilikua nauliza hivi kwa wale mliooana na mnaishi nyumba self yenye master bed room, mkitaka kwenda kunya huwa mnatumia techniques gani ili mwenzio asijue kuwa umeenda kunya,maana binafsi huwa naona aibu sana hasa ninapoona mwenza wangu kaingia msalani halafu akawa anajamba humo msalani ingawa mwenzangu yeye ni kama mshipa wa aibu ulishakatika vile,yani anaona kawaida sana.
tusaidiane kwenye hili
Mm huwa nakiona anachelewa kutoka huwa naenda seblen kuzuga .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapooo aibu ya nini jamanii....

Labda kama uko ugenini lakinii kama mkeo au mumeo we jiachie tuu
 
kwema jamani?
poleni kwa kukamatiwa ndege yetu huko canada ila ndo hivyo dawa ya deni ni kulipa tu,ubabe sio issue kivile kwenye kulipa madeni ya watu.
niende kwenye kilichonileta huku jf leo,nilikua nauliza hivi kwa wale mliooana na mnaishi nyumba self yenye master bed room, mkitaka kwenda kunya huwa mnatumia techniques gani ili mwenzio asijue kuwa umeenda kunya,maana binafsi huwa naona aibu sana hasa ninapoona mwenza wangu kaingia msalani halafu akawa anajamba humo msalani ingawa mwenzangu yeye ni kama mshipa wa aibu ulishakatika vile,yani anaona kawaida sana.
tusaidiane kwenye hili
Kama unamuonea aibu mpenzio basi ujue hamjaivana vyema kwenye mapenzi. Mi hata kujamba tu anajamba mbele yangu na wala siwazi alimradi tupo rum kwetu pamoja!
 
Eti kunya tu unaona aibu je kama kama ikitokezea mwenza wako anaumwa na yuko hali mbaya na ametapakaa kinyesi si utamkimbia wewe

nafight with my weather
 
Aisee hiyo kitu imenishindaga kunya au kujamba nikiwa na demu..

Kuna kama wiki nilikaa na demu hajawahi kuniona nikinya au kujamba mpaka akaniuliza "mwenzangu vipi? Wewe ni mzima kweli maana sijawahi kukuona ukiingia chooni". Nilikua namtoroka usiku mida ya wanga akiwa kalala naenda kukata gogo mtaa wa mbali!!!
 
kwema jamani?
poleni kwa kukamatiwa ndege yetu huko canada ila ndo hivyo dawa ya deni ni kulipa tu,ubabe sio issue kivile kwenye kulipa madeni ya watu.
niende kwenye kilichonileta huku jf leo,nilikua nauliza hivi kwa wale mliooana na mnaishi nyumba self yenye master bed room, mkitaka kwenda kunya huwa mnatumia techniques gani ili mwenzio asijue kuwa umeenda kunya,maana binafsi huwa naona aibu sana hasa ninapoona mwenza wangu kaingia msalani halafu akawa anajamba humo msalani ingawa mwenzangu yeye ni kama mshipa wa aibu ulishakatika vile,yani anaona kawaida sana.
tusaidiane kwenye hili
Kwan we ni me au ke? Tuanzie hapo kwanza!
 
Niwachie vijana wajibu hii,umri wangu umeshapita kujibu haya mambo,Vijana please msaidieni mwenzenu..
 
kwema jamani?
poleni kwa kukamatiwa ndege yetu huko canada ila ndo hivyo dawa ya deni ni kulipa tu,ubabe sio issue kivile kwenye kulipa madeni ya watu.
niende kwenye kilichonileta huku jf leo,nilikua nauliza hivi kwa wale mliooana na mnaishi nyumba self yenye master bed room, mkitaka kwenda kunya huwa mnatumia techniques gani ili mwenzio asijue kuwa umeenda kunya,maana binafsi huwa naona aibu sana hasa ninapoona mwenza wangu kaingia msalani halafu akawa anajamba humo msalani ingawa mwenzangu yeye ni kama mshipa wa aibu ulishakatika vile,yani anaona kawaida sana.
tusaidiane kwenye hili
Inaonesha bado hujazoeana na mpenzi/mke wako, hamna muda mrefu tangu muanze mahusiano yenu. Mbona jambo la kawaida hilo.
 
Hahaha umenikumbusha kipindi sijamuoa mke wangu alikuwa amepanga chumba self,nilikuwa naenda kukaa kwake hata wiki simuoni kukata gogo kumbe anaona noma anaenda kukatia kazini na weekend anakatia Choo cha jumuia nje huko,baada ya kuoana hapa tulipoamia chumba chetu ni self pia anakata gogo kama kawaida Tena sometime kwa sauti mpaka nasikia,mkioana ni kawaida tu ndugu.
 
Mm nasimamisha zoezi la kunya hadi ajiskie kwenda kununua voucher,
Naaangalia videos online kwa makusud ili bundle lake liishe akanunue voucher, mm huku nyuma nakunya,hahaaa

thA God thA bubbs!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom