Recent content by shinji

  1. shinji

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya ajabu usiku wa kuamkia Novemba 20, 2025

    Mimi si nabii wala mtabiri lakini huwa naota ndoto ambazo sizielewi. Naomba wataalamu wa tafsiri wanisaidie. Nimeona katika ndoto ndugu Stephen Masele na mtu mwingine ambaye simkumbuki vizuri wakijinadi mbele ya wabunge ili wachaguliwe kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania...
  2. shinji

    JamiiForums Tanzania Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

    Na itakuwa kakuta kweli bei ni 2000/=, vinginevyo angekuwa kasharudi kumprove wrong Polepole.
  3. shinji

    JamiiForums Tanzania Challenge ya kuandika mstari mfupi wa wimbo bila kuutaja ni wimbo gan ili mwana JF amalizie mstari huo

    Daima tudumu kukataa wahuni
  4. shinji

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ajira za TRA zinakiuka kanuni za utumishi? Je, wako juu ya sheria?

    Amani iwe nanyi! Ajira zote za serikali husimamiwa na Sekretarieti ya Ajira, ambapo baada ya mchakato kukamilika, majina ya waliopangiwa vituo hutolewa katika tovuti ili kila mmoja kuona. Hii imekuwa tofauti kwa TRA, ambao walianza vizuri kwa kutoa majina ya walioitwa kwenye usaili. Cha ajabu...
  5. shinji

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Tanzania kwa Ukubwa wa Eneo.

    Nadhani umetumia marejesho ya miaka mingi iliyopita, kabla ya ongezeko la mikoa 5 ya hivi karibuni k.v Katavi, Simiyu n.k
  6. shinji

    JamiiForums Tanzania Kwanini tiger hawapatikani Afrika?

    Isije ikawa walipanda ndege karne zilizopita
  7. shinji

    JamiiForums Tanzania Jina 'Machinga' chimbuko lake ni nini?

    Tafuta kitabu cha 'SAFARI YA CHINGA' kimeandika na Prof. Shani Omari
  8. shinji

    JamiiForums Tanzania Leo nawaomba tuweke Utani wetu pembeni hivi kweli kabisa tunaamini Simba na Yanga zitatoboa CAFCL Kesho Egpyt na South Africa?

    Nusu ni; Simba vs Petroleos Asec Mimosas vs Young Africans Nilioneshwa kabla hata ya draw ya robo fainali. Screenshot kabisa!
  9. shinji

    JamiiForums Tanzania Mtabiri nchini Libya aitabiria Simba kuingia nusu fainali

    Hapana amekosea kwa asilimia 75% Timu zitakazoingia nusu fainali ni: Young Africans Simba ASEC Mimosas Petroleos de Luanda HII NI UHAKIKA. NI UNABII. NB: Kiuhalisia sasa, nasubiri kuona hizo timu zote zitapenyaje?
  10. shinji

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Waziri Bashe na TBS kuhusu Mchele wa msaada toka Marekani, nini kinaendelea?

    Shule za msingi zilizopokea huo msaada kwa ajili ya lishe zimeambiwa chakula kilichokwisha kuletwa kiliwe kisha baada ya hapo hawatapokea tena. Swali ni je, kama kina madhara kwa nini shehena isiteketezwe badala ya kuruhusu iliyopo iliwe?
  11. shinji

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Simba atapigwa nje ndani na Al ahly

    Nusu ni; Simba vs Petroleos Asec Mimosas vs Young Africans Nilioneshwa kabla hata ya draw ya robo fainali. Screenshot kabisa!
  12. shinji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa kichaga wote jehovah awabariki sio kwa huyu bikra aisee nampenda sana

    Hizo ni bikra za kutengeneza. Mtafute mchaga akueleze vizuri.
  13. shinji

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu majukumu yake Kikatiba ni yapi? Wafahamu waliowahi kuwa Manaibu Waziri Wakuu nchini

    Kipindi kile Makamu wa Rais alikuwa ni Waziri Mkuu pia. Kwa hiyo, kwa sasa ni kama utaratibu mpya na pengine lengo ni kumpunguzia majukumu WM
  14. shinji

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

    Kipindi kile Makamu wa Rais alikuwa ni Waziri Mkuu pia. Kwa hiyo, kwa sasa ni kama utaratibu mpya.
  15. shinji

    JamiiForums Tanzania Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Mapambano yanaendelea. Mungu ni kiongozi mwaminifu ambaye humpa atakaye kwa wakati sahihi
Back
Top Bottom