Hiyo million 4 ndiyo makubaliano yao ambayo alisaini Yanga mwaka 2020 kwa wakati huo hiyo pesa ilikuwa inamlipa,usichokijua kwa uongozi wa Yanga tayari ilianza mazungumzo na wanaomsimamia Feisal ila ghafla yametokeo hayo sema haya mambo tunajadili kishabiki hakuna asiyejua kazi na uwezo wa Feisal
Sina maneno mengi Swali langu kwa Mheshimiwa waziri wa kilimo mimi nina mikorosho zaidi ya 40 wengine wana mikorosho zaidi ya 100 lakini unapewa chupa moja ya salfa ya maji na chupa moja ya wadudu mnagawana nusu kwa nusu watu wawili. Kama lengo kumsaidia mkulima chupa moja na nusu itamsaidia kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.