Recent content by shimwe

  1. shimwe

    Maisha Magumu Nauza simu yangu HTC insipar 4g

    Umetumia muda gani?
  2. shimwe

    Ndege mpya yafanyiwa majaribio. Yaenda Kigoma bila abiria na kugeuza bila abiria

    Walisema mpaka mama ntiliye watahakikisha wanapanda ndege kwa hali hii hatufiki.
  3. shimwe

    NIDA: Madudu Cheti kimoja watumishi zaidi 3, Watumishi watumia majina ya marehemu

    Ungeyajuaje? Mpaka umsubirie zitto amegewe kimemo
  4. shimwe

    NIDA: Madudu Cheti kimoja watumishi zaidi 3, Watumishi watumia majina ya marehemu

    Haya yote bila magufuri tungeyajuaje?
  5. shimwe

    Kutoka Arusha, Tundu Lissu aongoza kumbukumbu ya miaka 17 kifo cha JK Nyerere

    Ni kweli kabisa Tundu lissu hampendi nyerere
  6. shimwe

    Mkuu wa mkoa wa Arusha awa wa kwanza kurejesha posho ya Mwenge

    Lema anaingiaje hapa ? Wewe ni jipu limeiva linahitaji kutumbuliwa
  7. shimwe

    Wafahamu walinzi wa Papa huko Vatican

    Wavaa suruali fupi
  8. shimwe

    Poleni wana Kigoma, nauli ya ndege Dar-Kigoma ni mara mbili ya Dar-Mwanza

    Ndiye anayepanda ndege pekee yake? Au umeandika kujifurahisha
  9. shimwe

    Utafiti: Top 10 ya mikoa yenye wanawake wenye sura nzuri

    Vilaza wapo wengi kumbe hata wewe umo eti unaandika "mlogolo" badala ya morogoro rudi shule ukasome.
  10. shimwe

    CHADEMA waanza kuiga mambo ya ACT Wazalendo

    Act migebuka mnacheza ligi za mchangani sijaona mtoto anamwambia baba yake kuwa Baba unaniiga ni ulimbukeni wa siasa mlizo IGA kwa kiongozi wenu mkuu aliye na sauti kumshinda mwenyekiti wake
  11. shimwe

    Tuwe makini na juice hizi jamani{ Juice za Azam}

    Wagonjwa wa akili Tanzania wako 450,000/ siyo 200,000/ boss nnzi
  12. shimwe

    Hotuba ya Ababu Namwamba katika Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia

    Zitto kwishney kiki aliyokuwa akiipata akiwa chadema sasa hivi haipati tena chezea usaliti wewe anachezea ligi ya mchangani sasa hivi MTU wa kigoma anayejielewa hawezi kuwa ACT.
  13. shimwe

    FBI wamethibitisha Hillary Clinton alidanganya

    Hakuna wabaguzi kama nyie wavaa suruali fupi ,mpaka papa akalalamika kwanini wakristo wake walioko saudia wapatao mil moja hawaruhusiwi kuvaa kitu chochote kinachomjulisha ni mkiristo?na amewajengea kanisa kubwa la karibu $7milion lakini nyinyi misikiti kwao mnajenga bila wasiwasi wowote ule.
  14. shimwe

    Utafiti: Top 10 ya mikoa yenye wanawake wenye sura nzuri

    Mikoa mingine inawachapa kazi tu nimefurahi mkoa wangu kutokuwemo kwenye list hiyo ya kishambenga.
  15. shimwe

    Utafiti: Top 10 ya mikoa yenye wanawake wenye sura nzuri

    Andika Morogoro siyo mlogolo we umesomea wapi?ukome kutuandikia pumba zako hapa.
Back
Top Bottom