CHADEMA waanza kuiga mambo ya ACT Wazalendo

Mkuu unadhani chades watajinadi vipi kwa watz ili waeleweke?

Sera yao kuu ilikuwa ni ufisadi. Na kweli waliisimamia hiyo sera na tukawaamini. Je leo wanaweza kuliongelea hilo la ufisadi? Wametumia omo pipa zima kumsafisha Lowasa ambae walituaminisha kuwa ni fisadi papa. Lakini imeshindikana kumsafisha.

Sasa sera yao ni kuvizia matukio ili wapate la kusema. Wanaombea hata ndege mpya ipate ajali ktk safari zake wapate sera ya kusema. Bila kujali watz watapoteza maisha yao. Nadhani unakumbuka tetemeko la kagera.

Wanavizia Hotuba za Raisi ili wabadili sentensi. Wapate la kusema.

Na sasa wamekuwa wasemaji wa CUF. Chama ambacho walituaminisha kuwa ni CCM B.

Kwa hiyo wavumilie tu. Msigwa alisema atakaempa kura Lowasa akapimwe akili haraka. Hivyo tunasubilia wakapimwe akili haraka. Wakichelewa watatembe uchi
Mmechanganyikiwa hadi mmeamua kubuni post za kuchafua.Wana chadema tuko imara na hatutetereki sababu tunajielewa
 
Yaani CDM chama kikubwa kinazidiwa ujanja na chama kichangaa namna hii.

ACT wana policy convention CDM wana event convention.

Na CDM wana bahati bse kundi kubwa la wanaoikubali ni maleyman.
 
80235df5b4cfbbde3bcd382d1c272c47.jpg

Hatimaye Chadema wameanza sasa kuiga mambo ya chama cha ACT-WAZALENDO ni baada ya Chama cha ACT-WAZALENDO kufanya mkutano Mkuu wa Kidemokrasia ambao upo kulingana na katiba ya Chama cha ACT-WAZALENDO.

Baada ya mkutano wa ACT-WAZALENDO kuwa wenye mafanikio makubwa;Chadema nao wametangaza mkutano kama ule ambao utafanyika kanda ya Kaskazini tarehe 14/10/2016.

Huu sasa ni wakati wa Chadema kuachana na siasa ya matukio.Kwani Chadema imekuwa ikiongozwa kwa matukio.

Hili linalofanywa na Chama cha ACT-WAZALENDO ni funzo kwa vyama vingine kuendesha siasa za masuala na kujadili sera, katiba, hali ya uchumi wa nchi na uendeshaji wa chama kwa kushirikisha wanachama na wasio wanachama wa chama husika.
ACT ina mbunge mmoja kama taa ya muwindaji
 
si ndo huyu alimsemaga kambarage????
 
80235df5b4cfbbde3bcd382d1c272c47.jpg

Hatimaye Chadema wameanza sasa kuiga mambo ya chama cha ACT-WAZALENDO ni baada ya Chama cha ACT-WAZALENDO kufanya mkutano Mkuu wa Kidemokrasia ambao upo kulingana na katiba ya Chama cha ACT-WAZALENDO.

Baada ya mkutano wa ACT-WAZALENDO kuwa wenye mafanikio makubwa;Chadema nao wametangaza mkutano kama ule ambao utafanyika kanda ya Kaskazini tarehe 14/10/2016.

Huu sasa ni wakati wa Chadema kuachana na siasa ya matukio.Kwani Chadema imekuwa ikiongozwa kwa matukio.

Hili linalofanywa na Chama cha ACT-WAZALENDO ni funzo kwa vyama vingine kuendesha siasa za masuala na kujadili sera, katiba, hali ya uchumi wa nchi na uendeshaji wa chama kwa kushirikisha wanachama na wasio wanachama wa chama husika.
Act migebuka mnacheza ligi za mchangani sijaona mtoto anamwambia baba yake kuwa Baba unaniiga ni ulimbukeni wa siasa mlizo IGA kwa kiongozi wenu mkuu aliye na sauti kumshinda mwenyekiti wake
 
80235df5b4cfbbde3bcd382d1c272c47.jpg

Hatimaye Chadema wameanza sasa kuiga mambo ya chama cha ACT-WAZALENDO ni baada ya Chama cha ACT-WAZALENDO kufanya mkutano Mkuu wa Kidemokrasia ambao upo kulingana na katiba ya Chama cha ACT-WAZALENDO.

Baada ya mkutano wa ACT-WAZALENDO kuwa wenye mafanikio makubwa;Chadema nao wametangaza mkutano kama ule ambao utafanyika kanda ya Kaskazini tarehe 14/10/2016.

Huu sasa ni wakati wa Chadema kuachana na siasa ya matukio.Kwani Chadema imekuwa ikiongozwa kwa matukio.

Hili linalofanywa na Chama cha ACT-WAZALENDO ni funzo kwa vyama vingine kuendesha siasa za masuala na kujadili sera, katiba, hali ya uchumi wa nchi na uendeshaji wa chama kwa kushirikisha wanachama na wasio wanachama wa chama husika.
Chadema wanapita wanapopita ACT Wazalendo.
 
Mikutano IPO aina nyigi sio lazima iwepo kikatiba ndo maana hata wewe ukitaka unaweza kuwaalika ndugu jamaa na marafiki mkafanya kikao MF harusi maandalizi au kipaimara ili mradi tu msivunje SHERIA.
Hahaha. Kuishi kwingi kujifunza mengi. Kumbe ili kuitisha makongamano na mikutano mbalimbali lazima itajwe katika Katiba???[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
80235df5b4cfbbde3bcd382d1c272c47.jpg

Hatimaye Chadema wameanza sasa kuiga mambo ya chama cha ACT-WAZALENDO ni baada ya Chama cha ACT-WAZALENDO kufanya mkutano Mkuu wa Kidemokrasia ambao upo kulingana na katiba ya Chama cha ACT-WAZALENDO.

Baada ya mkutano wa ACT-WAZALENDO kuwa wenye mafanikio makubwa;Chadema nao wametangaza mkutano kama ule ambao utafanyika kanda ya Kaskazini tarehe 14/10/2016.

Huu sasa ni wakati wa Chadema kuachana na siasa ya matukio.Kwani Chadema imekuwa ikiongozwa kwa matukio.

Hili linalofanywa na Chama cha ACT-WAZALENDO ni funzo kwa vyama vingine kuendesha siasa za masuala na kujadili sera, katiba, hali ya uchumi wa nchi na uendeshaji wa chama kwa kushirikisha wanachama na wasio wanachama wa chama husika.
sasa ulitaka wafanyeje, ebu usiwe political bias with empty mindset, pole asee
 
So leo hii nikitaka kuoa kwa vile john aliona jana namwiga john??
Kaz ya chama cha siasa ni ipi?
Angekua magu hajakataza nani ambaye sahz anapeta kwa mikutano??

Labda mleta mada hujajiuliza kwa nn Tundu lisu ana kesi ungejua kes inahusi nini ungejua ACT ndio wameiga.
 
Unajua Chadema imepoteza mwelekeo wa sera zake za zamani kama kupinga rushwa nk sasa walipokosea ni kamali ya kumwalika Lowassa kwenye chama chao wakati wao ndio walimshutumu kuwa fisadi yaani hii dhambi itawagharimu.
 
Hapa ndo utaskia unafki Wa haka ka jamaa bungeni Kali sema Mwl nyerere alizoea kunyonga lakin kuchinja hawezi Tena alisigina drmokrasia sasa sijui atasema kuwa wakati wakati Wa jk demokrasia ili kuwepo kuliko kwa anko magu
 
80235df5b4cfbbde3bcd382d1c272c47.jpg

Hatimaye Chadema wameanza sasa kuiga mambo ya chama cha ACT-WAZALENDO ni baada ya Chama cha ACT-WAZALENDO kufanya mkutano Mkuu wa Kidemokrasia ambao upo kulingana na katiba ya Chama cha ACT-WAZALENDO.

Baada ya mkutano wa ACT-WAZALENDO kuwa wenye mafanikio makubwa;Chadema nao wametangaza mkutano kama ule ambao utafanyika kanda ya Kaskazini tarehe 14/10/2016.

Huu sasa ni wakati wa Chadema kuachana na siasa ya matukio.Kwani Chadema imekuwa ikiongozwa kwa matukio.

Hili linalofanywa na Chama cha ACT-WAZALENDO ni funzo kwa vyama vingine kuendesha siasa za masuala na kujadili sera, katiba, hali ya uchumi wa nchi na uendeshaji wa chama kwa kushirikisha wanachama na wasio wanachama wa chama husika.
CDM huwa inasubiri matukio tu
 
Back
Top Bottom