FBI wamethibitisha Hillary Clinton alidanganya

FBI wamethibitisha Hillary Clinton alidanganya

Tatizo letu kubwa Wadanganyika wa Tanzania ni ujinga! Tumedanganyika kwa miaka karibu sitini na bado tunaendelea kudanganyika. Kudanganyika kwetu ndio mtaji mkuu wa CCM lakini bado hatuzinduki! Kweli hiki kizazi kimelaaniwa na uwepo wa watu kama Barbarosa humu ni uthibitisho tosha kwamba ujinga wetu unazidi tu kuongezeka. Hebu fikiria katika karne hii bado tunaona sifa kuwasifu madikteta uchwara, nachoka...!

Yuko mwingine aliwahi kuleta website humu ikimuoonesha wa kwetu kama kiongozi bora duniani na kupewa tuzo na wapo wadanganyika humu wakaamini ni kweli!
Uyo asikusumbue ni kilaz.a namba moja kutoka lumumba
 
Hillary-Clinton-art-80x80.jpg

Duh ina maana ndio naikosa Whitehouse hivi hivi?
 
Next time fanya research kidogo kuliko kuokota vitu mitandaoni na kuvirusha humu pole sana ******
Haaaah mkuu kama lazima tufurai some time ......

Sio kila Siku tumenuna tu
 
Alitumia Email yake binafsi yaani kama vile yahoo.com au gmail.com kwa emails za kiofisi jambo ambalo ni kosa, na isitoshe alificha mawasiliano na kufuta ingawaje alikuwa anawasiliana kiofisi, kumbuka kwamba alikuwa Waziri wa Kivita wa USA (Secretary of state)!
Nimeelezea kijuu juu tu
lkn inakwenda ndani zaidi nafikiri, hapa Mpinga Kristo Clinton hachomoi!
kwahiyo unampigia debe Trump?.Alafu, mpinga Kristo ndio nini?.
 
Marekani imedanganya watu kwa muda mrefu.sasa mwaka huu amekabwa na Urusi.,,ahsante sana somebody Gussifer
 
Jambo linalonisikitisha ni jinsi wamarekani wanavyokuwa 'brain washed' na media kumkubali Hillary na kumchukia Trump
 
Usituchefue na imani zako.Dini yenyewe wameileta wao.Leo wewe unajifanya unamjua kristo kuliko waliokuwaaminisha kwamba kuna mtu aliitwa kristo,.Mbona humsemi Trump ambaye anabagua binadamu wenzake,hiyo imani ya kubagua binadamu wengine mmefundishwa na nani?.Najua wewe utakuwa ni wale mnaojiita walokole mnaotembea na majini mifukoni na kuwatupia waumini wenu mkidai wana mapepo.

Acha imani za kipuuzi,Hilary akishindwa uchaguzi si kwa sababu ya hizo imani zenu za gizani,uchaguzi wa magharibi ni mbinu za kisayansi,kama mgombea hukujipanga kimkakati,jua utashindwa tu,hata uombe kwa kusali na kuvua nguo hutashinda
Hakuna wabaguzi kama nyie wavaa suruali fupi ,mpaka papa akalalamika kwanini wakristo wake walioko saudia wapatao mil moja hawaruhusiwi kuvaa kitu chochote kinachomjulisha ni mkiristo?na amewajengea kanisa kubwa la karibu $7milion lakini nyinyi misikiti kwao mnajenga bila wasiwasi wowote ule.
 
Acha kupotosha umma wa JF kwa vitu visivyo na ukweli wowote ..
 
Alitumia Email yake binafsi yaani kama vile yahoo.com au gmail.com kwa emails za kiofisi jambo ambalo ni kosa, na isitoshe alificha mawasiliano na kufuta ingawaje alikuwa anawasiliana kiofisi, kumbuka kwamba alikuwa Waziri wa Kivita wa USA (Secretary of state)!
Nimeelezea kijuu juu tu
lkn inakwenda ndani zaidi nafikiri, hapa Mpinga Kristo Clinton hachomoi!
Eti waziri wa kivita wa USA!
 
apite clinton au trump wote ni wale wale tu hakuna unafuu kwa mwafrika wala mlala hoi trump au clinton mmoja akiingia white house lazima alinde maslahi ya wakubwa urais ni zaid ya taasisi uadui ni kwenye kampeni lengo la usa ni kuendelea kuwa taifa lenye nguvu duniani unyang' anyi ni silaha yao kuu
 
Da unatumia sura ya Nyerere aliyekuwa anatafsiri vitabu vya Shakespeare halafu unasoma udaku?

FBI Reopened Hillary Email Case…CONFIRMS She Lied About…
This could be the nail in the coffin for Hillary Clinton.

Among the nuggets of information buried in the FBI case files about Clinton’s home-based email server system was yet another revelation that sheds light on what the presidential hopeful knew, and when – and according to some political insiders, the revelations don’t look good for her White House aspirations.
The news blog Yes I’m Right puts it this way: “More emails are to be released before the election and this time it’s about tammpering with them to manipulate how they were viewed by the public and the FBI. This is huge.”
The 189 pages of the FBI’s report were heavily redacted. But enough’s creep out to cast yet another shadow on Clinton.

“The interviews released earlier this month, known as 302s, also reveal the serious allegation that senior State Department official Patrick Kennedy applied pressure to subordinates to change the classified email codes so they would be shielded from Congress and the public,” the news blog said.
That means, if true, that one of Clinton’s top aides at State took purposeful steps to hide away certain documents from public and congressional view.

The FBI detailed information about the email boxes in five pages of its report – but not much. On those five pages alone were 111 redactions. But the pages include summaries of a person who worked in the “Office of Information Programs and Services” at State, who reportedly told the FBI they were told there were 14 bankers boxes of former Secretary of State Clinton’s emails at her office in Friendship Heights, a neighborhood in Washington, D.C.

“The State Department witness further explained to the FBI that ‘on or about December 5, 2014, IPS personnel picked up only 12 bankers boxes of Clinton’s emails,” Yes I’m Right reported. “The officials were not sure if the boxes ‘were consolidated or what could have happened to the two other boxes.”

The big question: Did Clinton get rid of these two boxes?
It’s curious that one of the individuals who worked in the same office where the bankers boxes went missing was an attorney with a curious past.

As Yes I’m Right reported: “At least one of the lawyers in the office where the changes were made is Catherine ‘Kate’ Duval, who was at the IRS during the Lois Lerner email scandal and later handled the release of documents to the Benghazi congressional committee. Duval once worked for the same firm as Kendall and has since left the State Department.”
Source: Patriot Journal

Imethibitishwa Rasmi kuwa alidanganya .
 
Back
Top Bottom