Recent content by shimola jr

  1. shimola jr

    JamiiForums Tanzania Serikali na CCM yako,turudishieni umeme wetu

    huku kwetu tumeanza kuzoea maana kila ikifika saa tatu asubuh wanakata kurudisha sasa dah!ki ukweli inauma sana!
  2. shimola jr

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani nimeshindwa kudownload whatsaap kwnye pc

    Natumia dell d610 window 7 kila, ninapojaribu ku download whatsap nashidwa mwenyekuweza kuisaidia na tafadhari nashukuru!
  3. shimola jr

    JamiiForums Tanzania Washa taa au kitu chochote cha umeme mkubwa kwa kutumia remote control.

    natamani kufanya majaribio je mkuu unaweza kunielekeza na kinitajia vifaa vinavyohitajika?
  4. shimola jr

    JamiiForums Tanzania nashindwa ku download IDM kwenye lap top yangu MSAADA TAFADHALI!

    mkuu KONGOBELO nimejaribu ku download u-torent lkn nashindwa kila nikanza kudownload inakuja arlet ya IDM ikiniambia my trial period is over yani kwa ujumla siwezi kudownload kitu kwenye net nifanyeje?
  5. shimola jr

    JamiiForums Tanzania nashindwa ku download IDM kwenye lap top yangu MSAADA TAFADHALI!

    kwa karibu sina mtu wa karibu wa kumuomba! je hakuna njia nyingine naweza kudownload?
  6. shimola jr

    JamiiForums Tanzania nashindwa ku download IDM kwenye lap top yangu MSAADA TAFADHALI!

    ninapojaribu kudownload chochote kwenye internet nashidwa,hata kuangalia movie siwezi inaniambia adobe player nakiwa kudownload nanikijaribu kudownload inaaniambia idm need to downloaded msaada nimejaribu lkn nimeshindwa!
  7. shimola jr

    JamiiForums Tanzania TUMIA Whatsapp na Instagram kwenye Computer yako

    Natumia ibm thinkpad na window 7 lkini kila napo jaribu kudownload whatsapp nashindwa mwenye idea anisaidie tafadhali! ====================== Angalia kwenye hii thread ======================...
  8. shimola jr

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    mkuu fanya juu chini weka contact zako ili watu wapate elimu hii kwa undani hatua kwa hatua ni wengi tunahtaji
  9. shimola jr

    JamiiForums Tanzania Michael Scofield Ajitangaza yeye ni SHOGA

    siamini! hv ni kweli au story 2?
  10. shimola jr

    JamiiForums Tanzania Michael Scofield Ajitangaza yeye ni SHOGA

    are u a gay?
  11. shimola jr

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa kutisha ujio marais/Obama: Zaidi ya Bilioni 8 zatumika!

    hata iweje wahusika hawezi kukanusha habari hz kama wapo wajitokeze tuone!
  12. shimola jr

    JamiiForums Tanzania Utambulisho

    im in now!
Back
Top Bottom