Vyuo vyote vimethibitishwa na mamlaka husika ndio maana vikasajiliwa! Na elimu ya vyuo vyooote ipo standard! Pia kusoma miaka 5 sio inshu. Muda standard wa degree dunia nzima ni miaka 3. Hawa wanaochangia kwa chuki na si kwa hoja ni wahanga tu opportunity waliozoea ule wimbo "chuo ni UDSM tu...
Wiki hii yote nimekuwa Tarime pamoja na Naibu waaziri MJJW pamoja naibu wa Mambo ya Ndani! Kwa kweli sheria bado inachezewa! Watoto wa kike bado wanakeketwa bila uficho. Hili bado ni tatizo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.