Recent content by SHIGOTTO

  1. S

    Natafuta chuo kinachofundisha Aircraft Mechanical Engineering Canada

    nimetafuta kwa google napata vyuo vinavyotoa diploma ya miaka miwili tofauti na tunavyotaka
  2. S

    Natafuta chuo kinachofundisha Aircraft Mechanical Engineering Canada

    Wadau mnaendeleaje, Kijana wangu anapenda ,course ya Aircraft Eng, nilipenda kozi aisomee nje ya nchi hasa canada, Je kuna mtu yeyote anafahamu vyuo vinavyo toa kozi hii na gharama zake ikiwezekana. Asanteni
  3. S

    Feel great again program

    Nimekuwa napata matangazo mengi kwenye simu yangu kuhusu hii feel great again program inayozungumzia kupata unafuu mkubwa wa maradhi ya kisukari na mengine yasiyoambukiza. Kama kuna mwenye ufahamu wa hii program zaidi tujuzane tafadhali.
  4. S

    Master in Computer Security online

    Wanajamvi habari za leo, nataka kufanya Masters in Computer security online, nimepata collage moja ipo spain inaitwa tech technological university, wapo nchini spain na wamekuwa wakinipigia simu mara kwa mara ili nijiunge nao. Sasa kabla sijafikia maamuzi naomba ushauri kwenye hili jambo kama...
  5. S

    Kumbe kama familia mkiamua mnaweza, waafrika tunakwama wapi?

    Angalia kibao cha mbuzi, ni ubunifu na thinking ya hali ya juu kinachotakiwa ni miendelezo ile angefanya mtu wa rangi nyingine balaa lake lingekuwa kubwa
  6. S

    Nasumbuliwa na tatizo la genital warts

    Kwangua then weka alovera hiyo mambo itakuwa kwisha kbsa
  7. S

    Kununua bonds Canada au United States

    Fuatia kichwa cha habari hapo juu, nataka kujua kuna uwezekano Mtanzania aiishie hapa TZ anaweza kununua bonds za nchi kama Canada au United States? Kama kuna mtu mwenye ufahamu, naomba atujuze nasi tuwekeze kwa wenzetu wageni wanavyowekeza katika nyanja mbalimbali hapa kwetu.
  8. S

    Uwekezaji kwenye biashara ya dhahabu

    Mimi napenda kununua ilikamilika mfano pete,earings maana nitakuwa na uhakika ya dhahabu yenyewe kwa kuwa itatoka kwa sonara then nihifadhi niziuze after decades
  9. S

    Uwekezaji kwenye biashara ya dhahabu

    Natumaini wote tu buheri wa afya, na kwa wale wenye changamoto basi Mwenyezi Mungu awape wepesi warudi kwenye afya njema. Ninafikiria kuwekeza kweye madini ya dhahabu yaani niwe nanunua kuwekeza benki kisha kuuza baadaye, changamoto niliyonayo ni wapi naweza pata hiyo dhahabu kwa uhakika maana...
  10. S

    Leo nimekuja kwenu kuuliza kuhusu hizi products zinaitwa Phyto Science products

    Habari za leo wanajamvi, tunamshukuru Mungu kwa yote anayotutendea. Leo nimekuja kwenu kuuliza kuhusu hizi products zinaitwa Phyto Science products nimefuatwa na ndugu yangu mmoja akinishawishi nizinunue kwa ajili ya matumizi ya Mzee wangu ambae anashida ya kupoteza kumbukumbu. Naomba...
  11. S

    Tatizo la kuvimba uso wakati wa asubuhi

    Wandugu habari! Mzee wangu ameanza tatizo la kuvimba usoni kila asubuhi kwa wiki tatu sasa na baada ya muda mfano saa nne asubh kuendelea anakuwa powa! Tafadhali naomba kujuzwa kama kuna mtu anafahamu hii hali, kwa sasa Mzee yuko kijijini nategemea kumfuata weekend hii ili tuwaone watu wa...
  12. S

    Namkumbuka Rafiki Yangu Gershom Chihota (1950 - 2023)

    Pamoja sana, mimi nimekulia mitaa hiyo ya magomeni ingawa inaonyesha hao walikuwa wakubwa wetu, nilishi mitaa ya magomeni mikumi mambo yalikuwa mazuri sana by then
  13. S

    Kilimo cha miwa Kilosa

    Shamba nanunua kijiji cha Msowelo unaingilia Dumila then unaenda kilometa kadhaa unaingia mkono wa kushoto kabla hujavuka daraja kuna njia mpya imechongwa kuelekea mashambani, ni hivyo tuu ndugu yangu!
  14. S

    Kilimo cha miwa Kilosa

    Ndugu zangu, poleni na majukumu ya kikazi, nimepatwa na wazo la kulima miwa pale Kilosa kwa ajili ya kuuzia kiwanda cha Mkulazi kwa ajili ya kutengeneza sukari. Nimepata shamba la heka sitini ambalo nina mpango wa kulinunua, nakuja kwenu kujua kama kuna mtu aliyewahi kulima au kusikia juu ya...
Back
Top Bottom