Recent content by Shibandiko

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya Uchaguzi Simba yamuondoa Wambura katika mbio za kugombea Urais wa Simba SC

    Acheni mambo yenu mna maslahi gani na simba yetu? mbona kamati ya uchaguzi inaupande wakati haitakiwi kufanya hivyo?!!! Inajidhalilisha sana,,,waache kipute kipigwe coz wanachama ndo wataamua rais wa simba na co kamati ya uchaguzi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Daniel Bryan Bingwa mpya wa Mieleka duniani ( WWE Heavy weight champion)

    Tulia wakati unareply mkuu,,,wewe kama humjui ni bora ukapita tu na kupiga kimya,,,usifikiri kwa kuwa ww humjui basi members wote wa jf hawamfahamu pia!!!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Daniel Bryan Bingwa mpya wa Mieleka duniani ( WWE Heavy weight champion)

    Etv mkuu,,,ilikuwa ni Wrestle-mania.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Daniel Bryan Bingwa mpya wa Mieleka duniani ( WWE Heavy weight champion)

    Hongera yake alistahili.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    Naitaka Tanganyika yangu,,,,
  6. S

    JamiiForums Tanzania Cheti cha Darasa la Saba

    Unachokisema hakina ukweli mkuu,,,kuna watu wamemaliza std 7 within hicho kipindi na vyeti wanavyo, so sio kweli.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Aliyekuwa kada nguli wa CCM ndg. Mtambalike afariki dunia

    May his soul rest in peace,,,
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi pccb link hapa

    Amen,,,
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu TIOB

    Nenda jengo la kitegauchumi ghorofa ya 10 kuna ofc zao utapata details za kutosha,,,kama haupo Daslam fanya kuwatafuta online wapo,,,,
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mkapa aiponda misaada kutoka nje - asema yadhoofisha uchumi Afrika

    Well said mkuu,,, Mzee alikuwa na weakness zake bt alitusogeza sana na kazi aliyoipiga mi pia kwangu hata akigombea tena nampa kura yangu.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Umeme umenishinda

    Hali ni mbaya mkuu,,,mi bado natafakari
  12. S

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mi nimeshaamua kuhama coz mi ndo washaniona mnyonge wao kila siku lazima waniibie
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kupotelewa na vyeti

    Thnx,,,nitafanyia kazi ushauri wako
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kupotelewa na vyeti

    Nilikuwa safarini dar to mwnz along morogoro kunakibaka alisepa na bag yangu ndogo ambamo ndo kulikuwa na vyeti kk
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kupotelewa na vyeti

    Ahsante sana kk
Back
Top Bottom