Shibandiko
Member
- Nov 10, 2013
- 18
- 0
Hongera yake alistahili.
wameonyesha live channel gani
Wameonyesha live channel gani
... Naona kwa akili yake anfikiri kila mmoja ananamjua?? Ikiwa hawa akina miyeyuko hatuwajui...
Yaaaa. Anastahili. Ila hii inakuwa imepanga nani anatakaye Shinda everytime. Na wanamuandaa kwa promo Nyingi kabla ya Mpambano.
Wameonyesha live channel gani
napendaga smackdown money in the bank sojui ile wanapanda na ngazi naipendaga
hivi deniel bryan si alifungaga ndoa na yule dada mcharuko
au zile ni drama?
... Naona kwa akili yake anfikiri kila mmoja ananamjua?? Ikiwa hawa akina miyeyuko hatuwajui...
hapo nilikuwa naomba kapicha kimtindo...tulia wakati unareply mkuu,,,wewe kama humjui ni bora ukapita tu na kupiga kimya,,,usifikiri kwa kuwa ww humjui basi members wote wa jf hawamfahamu pia!!!
Ushindi wa Wrest-mania mbona karibu wiki 3 zimepita
WWE sasa hivi maigizo mengi ili kujaza watu kuingiza pesa
Dan Bryan kakomaa mgum kama Cena,ila mwisho Brock Lesnar
Yap anaitwa Brie Bella a Former WWE Divas Champion, ni mapacha... pitaa hapa utajua kitu www.wwe.com.