Recent content by sheridan j

  1. S

    JamiiForums Tanzania Lissu: Hoja ya jambo muhimu unaijenga kwenye uongo

    Tulizitoa kisheria tuzirudishe kisheria
  2. S

    JamiiForums Tanzania Eeeh Mungu, Mlinde, na Mkinge, Tundu Antipas Lissu

    Viva Lissu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Majibu mujarabu kwa Mdude Nyagali wa CHADEMA kuhusu tozo ya motor vehicle

    Nauli isipoongezwa nitajua bajeti ya ukombozi, ikiongezwa ntajua anakamuliwa anayedaiwa mnyonge......
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini kambi ya upinzani ilikuwa imenuna wakati bajeti inasomwa bungeni?

    Kuna uhusiano gani baina ya upigaji makofi na kutekelezeka kwa bajeti? Miaka yote ya bajeti hata bajeti iliyopita 2016/2017 waliipigia makofi kwa mbwembwe na kuisifu sana mwisho ilitekelezeka kwa 34%!! Makofi ni kelele tu hayasaidii bajeti kutekelezeka.....
  5. S

    JamiiForums Tanzania Maajabu 10 ya CHADEMA na viongozi wake

    Mti wenye matunda ndio hupigwa maweeeeee, Come on..................Keep on Disorganised propagand at level best
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wanamjenga nani akidhi viwango vya kiushindani Urais 2020?

    Leta tume huru, katiba mpya ya Warioba, ndio tufanye uchaguzi wa ushindani. Lasivyo ni kukimbizana na upepo.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kina sisi ni early version of human being

    Kweli kabisa, kwa mfano mdogo wa ugonjwa AIDS, ki takwimu waishio Africa ni wahanga zaidi, haimaanishi ughaibuni hawafanyi ufuska, ila wako smart katika mambo yao.
  8. S

    JamiiForums Tanzania chadema, the weakest opposition Party in Afrika!

    Mfano wa mtu ajitekenyae na kucheka, @ Tuamini anayo furaha!!!!!!
  9. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Viwanda, Charles Mwijage: Ukiwa na vyerehani vinne hicho ni Kiwanda kidogo

    Uko sahihi mkuu, hoja sio kuwa na vyerehani, hoja ni kuwa na technolojia ya kuunda mashine za vyerehani.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Viwanda, Charles Mwijage: Ukiwa na vyerehani vinne hicho ni Kiwanda kidogo

    Miaka nenda rudi watanzania wanazo chelehani na zaidi ya nne pengine, mbona hakuna transformation????? Hoja nzito, majibu mepesi, kweli sifa ya mwanasiasa ni kujua kusoma na kuandika tu.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Viwanda, Charles Mwijage: Ukiwa na vyerehani vinne hicho ni Kiwanda kidogo

    Tatizo sifa za kuwa mwanasiasa" kusoma na kuandika"" utegemee viwanda kwa wajuao kusoma na kuandika tu!!!!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Msichana wa QT au anayereseat akilala na mwanaume ,mwanaume atafungwa?

    Sawa, lakini zaidi azingatie umri wa huyo msichana sijui mwanamke, Kama ni chini ya 18 weka mbali.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Viwanda, Charles Mwijage: Ukiwa na vyerehani vinne hicho ni Kiwanda kidogo

    Afukuzwe na nani endapo aliyemteua ndie kamuagiza ayaseme hayo?????
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rais wetu anakera, iweje uwalipe uliowaita majambazi fedha zetu za kodi?

    Kweli, wanastahili kupewa stahiki za jasho lao. Kuna waliokuwa wamebakiza muda mchache kustafu wapewe tu. Take note. Hao waliotolewa kwenye system wengi wao walikuwa wanafanya kazi vizuri pengine kuliko hata walio na vyetu halali.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza kiama kwa mitandao ya simu

    Kumekuwa na kawaida ya Abiria wakiimsihi na kumsifia dereva aongeze kasi ya gari ikiwa safarini, ajari ikitokea sifa hubadirika kuwa majuto na lawama humuendea dereva eti alikuwa ana overtake kwenye kona, milimani n.k by that time inakuwa too late.
Back
Top Bottom