khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,050
- 1,199
Duuh! inawezekana
Baadhi ya bidhaa za viwandani zikishatengenezwa kwa mara ya kwanza,bidhaa hizo huendelea kuboreshwa kwa kutoa matoleo (models) zilizo bora zaidi kuliko yale matoleo ya awali.
Kwa mfano.Simu za Samsung Galaxy zilianza kutolewa kama Samsung Galaxy I baaadae Samsung Galaxy II zikaja Galaxy III na kuendelea mpaka sasa tuna Galaxy 8.
Mara nyingi toleo la mwanzo linakuwa na ubora wa chini kuliko tolea la pili na toleo la pili linakuwa na ubora mdogo kuliko toleo la tatu na hali huwa ni hiyo kwa matoleo yanayofuatia.
Katika simu,kila toleoa wanaboresha uwezo wa camera(megapixel),storage capacity(GB),n.k na pia kuongeza vitu vipya kwa lengo la kuongeza ubora.
Nikirudi kwa kina sisi huenda hali ndio hiyo hiyo na inawezekana sisi ndio tulikuwa tolea la mwanza kabisa na ndio maana ubora wetu kiakili, maarifa,n.k uko chini kuliko wenzetu walio katika mabara mengine ambao inawezekana wao walikuja kama matoleo ya baadae na kila toleo liliwekwa kwenye bara lake na ndio maana wenzetu wako vizuri kutuzidi katika mambo mengi.
Nikikumbuka na ule uvumbuzi kuwa mtu wa kwanza(alieshi miaka mingi) alipatikana wapi ndio kabisa nahisi niko sahihi.
Haya ya mambo ya mtoto mpendwa wa mfalme na jinsi tunavyoyashugulia ndio kabisa yananifanya niendelee kuamini hivi na mada ya bwana Paskali ya leo kuhusu mwanamfalme huyo ndio kabisa imenifanya niwaze zaidi.
Maradhi sisi,ujinga sisi,njaa sisi,vita sisi,umasikini sisi,utawala mbovu sisi,n.k.
Nadhani sisi tuna tatizo kubwa sana la asii ambalo huenda chanzo chake ni nature na ndio maana hata elimu zetu ni kama hazitusaidi sana.
Achana na negative thinking Ndugu jithamini kwanza ndipo wengine watakuthamini.Misri ya kale unajua ilijengwa na watu gani?Msingi wa ubilionaire wao ni biashara ama viwanda ambavyo ni matokeo ya teknolijoa ya watu kutoka mabara mengine.
Msingi wa maendeleo yetu madogo tuliyonayo ni kutoka kwa wenzetu kuanzia elimu,teknolojia,n.k.
Kujitambua haiitaji nguvu kiasi icho mkuu..Yatupasa kujitambua pia.
Wengine hapa Tanzania wengine huko huko Marekani. Mkuu, kumbuka kuwa Misri ndio nchi ambayo ustaarabu ulipoanzia.Hao madaktari elimu hiyo ya utabibu waliipata kutoka wapi?
Haya positive thinking: We are developed than Norway!Achana na negative thinking Ndugu jithamini kwanza ndipo wengine watakuthamini.Misri ya kale unajua ilijengwa na watu gani?
Yaani ukweli uko wazi ila basi hawataki kukubali ukweli.watu watajidai kutoka povu sana hapa, bt huu ndo ukwel ,kwnn kila kitu wawe wao tu wajuvi ?kitecnolojia, kisiasa nk.hao madaktar mnaosema wa kiafrika chanzo n tecnolojia ya mzungu,huyo dangote machine anazotumia n tecniolojia ya mzungu,matecnician wake elim ya mzungu,n.k
yan Kna mambo yanaumiza roho na kukera bt ndo ukwel wa mambo haina jins kuukubal
muulize dangote kamma ana sugar or cement laboratory for researchwatu watajidai kutoka povu sana hapa, bt huu ndo ukwel ,kwnn kila kitu wawe wao tu wajuvi ?kitecnolojia, kisiasa nk.hao madaktar mnaosema wa kiafrika chanzo n tecnolojia ya mzungu,huyo dangote machine anazotumia n tecniolojia ya mzungu,matecnician wake elim ya mzungu,n.k
yan Kna mambo yanaumiza roho na kukera bt ndo ukwel wa mambo haina jins kuukubal
Kuhusu wa Misri nafahamu hilo na nimewagusia katika hii mada hapa chini.Achana na negative thinking Ndugu jithamini kwanza ndipo wengine watakuthamini.Misri ya kale unajua ilijengwa na watu gani?