Maajabu 10 ya CHADEMA na viongozi wake

Maajabu 10 ya CHADEMA na viongozi wake

Mawazo yanayotolewa humu JF kuhusu mwelekeo wa CHADEMA, hakuna ubishi unawagusa sana wanachama na washabiki wake, humu jamvini.

Mkuu huku jamvini kila mtu anapewa ukweli wake bila kujali chama ama cheo anachomiliki. Au umesahau huku ndio tumejulia mpaka elimu za watu na walivyozipata. Hakuna aliye salama humu maana ni jukwaa lenye ukweli, uwongo, umbea, unafiki, kiherere nk. Na hayo yote niliyotaja hayana macho.
 
Mimi sio shabiki, mwanachama, ama kada wa chama katika vyama hivi viwili (CCM na CDM)

Nimependa JAMAA alivyo wasilisha hoja yake, akiwa na vipengele 10 (kumi) alivyo ona ni maajabu kwake juu ya CHADEMA.

Ningependa kuona MTU huyu anajibiwa kwa HOJA pasipo MATUSI na KEJELI...

Mimi napita tuuu...!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
1. Kuwatetea wanaCCM waliopewa adhabu kuliko wanaCCM wenyewe kiasi cha kutoa cheo cha ushujaa kwa wanaofukuzwa ama kupewa adhabu kutokana na kwenda kinyume na chama cha CCM.

2. Wanamchukia Prof Ibrahim Lipumba kuliko hata wana CUF wenyewe kiasi cha kutamani kutumia nguvu kumuondoa madarakani, nadhani hii ni kwasababu Maalim Seif anacheza ngoma za CHADEMA.

3. Hakuna mbunge wa viti maalum asiye na mvuto wote ni warembo wenye mvuto wa hali ya juu , kuhusu upatikanaji wao ni siri ya m/kiti na wadau wake .

4. Kuongea kwa sauti kali kwa kufoka na vibwagizo vya matusi ni ishara ya kuwa kamanda imara , matusi ni sehemu ya ukakamavu CHADEMA.

5. Hakuna tukio wanalotaka lipite bila kufanya siasa iwe msiba, majanga , ujambazi lazima iwe fursa ya kisiasa kwao .

6. M/kiti wa chama ni mfalme mawazo yake ni hakuna kuyapinga zaidi ya kutekeleza .

7. Lowassa ni muhimu kuliko wanachama wote CHADEMA kama unaipenda CHADEMA anza kumpenda Lowassa.

8. Pamoja na mapato makubwa hawana ofisi na hawana mpango kujenga ofisi hii ni kwasababu m/kiti ana 10% kwenye malipo ya kodi.

9. Ni kosa kuhoji elimu ya m/kiti wao MBOWE lakini ruksa kushambikia elimu za viongozi wa vyama vingine, ukitaka mwisho wako CHADEMA uliza Taaluma ya Mbowe.

10. Wanalalamika katiba ya CCM kumpa fursa JPM kugombea urais 2020 wakati wanasema hakubaliki , badala ya kufurahia kushindana na mgombea asiyekubalika wanaishia kulalamika.

11. wako radhi kumtetea mwenyekiti wao hata akilala na mke wake!!
12. Wote nyumbu! ukitumia akili ni msaliti
13. wote wabishi! wanapinga kila kitu hata chenye manufaa kwao
14. Ili uwe kamanda we mchukie magufuli tu!!!
 
Mkuu huku jamvini kila mtu anapewa ukweli wake bila kujali chama ama cheo anachomiliki. Au umesahau huku ndio tumejulia mpaka elimu za watu na walivyozipata. Hakuna aliye salama humu maana ni jukwaa lenye ukweli, uwongo, umbea, unafiki, kiherere nk. Na hayo yote niliyotaja hayana macho.

sana
 
OK sawa, Tatizo lako nini? au ni kipi kinakuwasha? Mbona nyie awamu ya nne mlikuwa mkiteua wakuu wa wilaya warembo tupu? Na hatukusema kitu iweje siye mnatuingilia? Kilichowafanya nyie kuteua wakuu wa wilaya bomba ndo hicho hicho kimetufanya na siye kuteua wabunge bomba.

kwa hiyo mnalipa sasa!! wacha we
 
Umegusa mzee ingawa bado yapo zaidi ya ishirini
 
1. Kuwatetea wanaCCM waliopewa adhabu kuliko wanaCCM wenyewe kiasi cha kutoa cheo cha ushujaa kwa wanaofukuzwa ama kupewa adhabu kutokana na kwenda kinyume na chama cha CCM.

2. Wanamchukia Prof Ibrahim Lipumba kuliko hata wana CUF wenyewe kiasi cha kutamani kutumia nguvu kumuondoa madarakani, nadhani hii ni kwasababu Maalim Seif anacheza ngoma za CHADEMA.

3. Hakuna mbunge wa viti maalum asiye na mvuto wote ni warembo wenye mvuto wa hali ya juu , kuhusu upatikanaji wao ni siri ya m/kiti na wadau wake .

4. Kuongea kwa sauti kali kwa kufoka na vibwagizo vya matusi ni ishara ya kuwa kamanda imara , matusi ni sehemu ya ukakamavu CHADEMA.

5. Hakuna tukio wanalotaka lipite bila kufanya siasa iwe msiba, majanga , ujambazi lazima iwe fursa ya kisiasa kwao .

6. M/kiti wa chama ni mfalme mawazo yake ni hakuna kuyapinga zaidi ya kutekeleza .

7. Lowassa ni muhimu kuliko wanachama wote CHADEMA kama unaipenda CHADEMA anza kumpenda Lowassa.

8. Pamoja na mapato makubwa hawana ofisi na hawana mpango kujenga ofisi hii ni kwasababu m/kiti ana 10% kwenye malipo ya kodi.

9. Ni kosa kuhoji elimu ya m/kiti wao MBOWE lakini ruksa kushambikia elimu za viongozi wa vyama vingine, ukitaka mwisho wako CHADEMA uliza Taaluma ya Mbowe.

10. Wanalalamika katiba ya CCM kumpa fursa JPM kugombea urais 2020 wakati wanasema hakubaliki , badala ya kufurahia kushindana na mgombea asiyekubalika wanaishia kulalamika.
Ile audio mlioigiza sauti imebuma.kazi mnayo
 
1496672593882.jpg
kama ulisikia kichefu-chefu angalia hapo ndio utapike kabisa,
 
Mti wenye matunda ndio hupigwa maweeeeee, Come on..................Keep on Disorganised propagand at level best
 
Ukiwa kiongozi ama mbunge wa Chadema ni marufuku kuongea bila kurusha mate mdomoni,

Hairuhusiwi kuongea bila kurusharusha mikono,
Ni lazima macho yawe mekundu hata kama hauvuti bangi,
Ili uonekane mwanasiasa mahiri ni lazima kuonesha ubabe, ubishi na kutokukubaliana na jambo lolote hata kama unaamini lina manufaa kwa watu na jamii yako.
 
1. Kuwatetea wanaCCM waliopewa adhabu kuliko wanaCCM wenyewe kiasi cha kutoa cheo cha ushujaa kwa wanaofukuzwa ama kupewa adhabu kutokana na kwenda kinyume na chama cha CCM.

2. Wanamchukia Prof Ibrahim Lipumba kuliko hata wana CUF wenyewe kiasi cha kutamani kutumia nguvu kumuondoa madarakani, nadhani hii ni kwasababu Maalim Seif anacheza ngoma za CHADEMA.

3. Hakuna mbunge wa viti maalum asiye na mvuto wote ni warembo wenye mvuto wa hali ya juu , kuhusu upatikanaji wao ni siri ya m/kiti na wadau wake .

4. Kuongea kwa sauti kali kwa kufoka na vibwagizo vya matusi ni ishara ya kuwa kamanda imara , matusi ni sehemu ya ukakamavu CHADEMA.

5. Hakuna tukio wanalotaka lipite bila kufanya siasa iwe msiba, majanga , ujambazi lazima iwe fursa ya kisiasa kwao .

6. M/kiti wa chama ni mfalme mawazo yake ni hakuna kuyapinga zaidi ya kutekeleza .

7. Lowassa ni muhimu kuliko wanachama wote CHADEMA kama unaipenda CHADEMA anza kumpenda Lowassa.

8. Pamoja na mapato makubwa hawana ofisi na hawana mpango kujenga ofisi hii ni kwasababu m/kiti ana 10% kwenye malipo ya kodi.

9. Ni kosa kuhoji elimu ya m/kiti wao MBOWE lakini ruksa kushambikia elimu za viongozi wa vyama vingine, ukitaka mwisho wako CHADEMA uliza Taaluma ya Mbowe.

10. Wanalalamika katiba ya CCM kumpa fursa JPM kugombea urais 2020 wakati wanasema hakubaliki , badala ya kufurahia kushindana na mgombea asiyekubalika wanaishia kulalamika.

Kuhusu lipumba umekosea
 
Hii chadema itawaumiza sana .bado miaka mitatu jengeni viwanda shauri yenu.
 
Hivi ndio viwanda? Haya
 
Back
Top Bottom