Recent content by shemweta91

  1. shemweta91

    Mliositishiwa ajira June 2016 wote mje hapa ili kujua cha kuwasaidia!

    hili suala kwa kweli linahitaji ufumbuzi wa haraka na wa busara, kuacha vijana waliopata nafasi ambayo waliamini ndo ingekuwa mwanzo wao kuanza kujitegemea ni hatari sana.
  2. shemweta91

    Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

    ahsante sana Max kwa kutulinda humu ndani
  3. shemweta91

    Kujaza upya mikataba ya ajira kwa waliositishiwa

    mimi taarifa inanihusu lakini mpaka namaliza kuandika hapa sijui ni utaratibu upi unatumika kuturudisha kazini
  4. shemweta91

    Waliotakiwa kumrithi Mukandala hawa hapa

    mfinanga ni matatizo makubwa na akipewa chuo naona kazi hazitaenda kabisa
  5. shemweta91

    Ni nani atamrithi Prof. Mukandala UDSM?

    sasa mfinanga ndo ana roho mbaya sana uliza chuo kizima hawampendi hasa staff
  6. shemweta91

    Wapi nitapa video clips za Mh Suleiman Wachupucha?

    nyie nyie. ngoja wenyewe waje
  7. shemweta91

    Kujaza upya mikataba ya ajira kwa waliositishiwa

    lolote jipya hapa?? kwa wale wa vyuo vikuu vipi washarudishwa na wao??
  8. shemweta91

    Waliositishiwa ajira zao mwezi May/Jun 2016

    kweli mkuu hata mimi nasubiri upande huu unanihusu sana kaka
  9. shemweta91

    Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    jamani mbona mimi nikifungua nakuta kuna loan breakdown lakini hakuna kiasi chochote katika kila nyanja... je wanamaana gani?
  10. shemweta91

    Serikali baada ya uhakiki wa watumishi hewa kuisha litaanza zoezi la kupanga mishahara upya

    nimecheka sana aisee, mpaka watu wananiambia nitadata
  11. shemweta91

    PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

    Hatari sana huyu jamaa imenibidi nicheeke saana maana Duu! kutoka kwenye udirector mpaka kwenye nursing
  12. shemweta91

    DAR: RC Makonda atangaza vita dhidi ya mashoga. Atishia kuzifuta asasi zinazowatetea!

    hahahahahahhahaha jamaa umenichekesha saaana, imebid ni login nikupe kaujumbe
  13. shemweta91

    Wabunge walalamikia adhabu ya kijana aliyemtukana rais kuwa ni ndogo, Waziri wa Sheria azungumza

    bosi na hiyo Picture yako sikutegemea jibu la kua mbunge hayuko sawa
Back
Top Bottom