Wapi nitapa video clips za Mh Suleiman Wachupucha?

Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
6,819
9,171
Hakiiiiiiiii,

Ccm itaondoka Kama alivyoondoka firauni,tulieni tulieni Kuna mengiiii.

Naombeni muweke video clips za Huyo bwana.
 
Kwa mwenye ile video clip yenye wimbo wa Achukucha ambao kuna jamaa alikuwa Jukwani akasema CCM itaondoka kama alivyoondoka Firauni anisaidie bajameni.
 
hakiiii sawaaaa

SISIEM ITAONDOKA KAMA ALIVYOONDOKA FIRAUNI

halafu linaachiwa biti la waichukucha na jamaa anaanza kucheza kidogo


Unajua wazee wetu wanafight sana kutafuta maisha,,, apo yote hayo ni lutafuta maslai. Nadra sana kuona kwa vijana hivi vitu
 
Back
Top Bottom