Recent content by Shekidodo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ntarahamwe ni nini?

    Nimeilewa vizuri analysis yako mkuu. Kumbe Prof alitumia msamiati mzito sana!!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ntarahamwe ni nini?

    Kwa hiyo asili yake ni Rwanda?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ntarahamwe ni nini?

    Ni kabila gani hii?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ntarahamwe ni nini?

    Naomba kuuliza maana ya hilo neno. Maana kila nikiliona napata ukakasi.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Bora EAC iwe nchi moja Uhuru Kenyetta awe rais tuondokane na huyu kikwete

    Fikiria tena mkuu.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kufika Kileleni Raha Jamani.

    Dah.! Ngoja nipite tu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Pata Asali Kwa Bei Nafuu Jumla na Rejareja.

    Lita 20 kwa tsh 170000/= Bei hii ni kuanzia lita 40. Kwa wanaofahamu bei ya asali watagundua punguzo lilopo hapa. Kwa wanaotaka wanipm.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwana JF gani anakufurahisha na thread zake humu jukwaani

    :tape:
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mgosi azaingia mwe JF

    Hongeai weume... uwooo nzahapitwa na mbui nzaaghenea
  10. S

    JamiiForums Tanzania Vidonge vya majira

    Kwani kale kakitanzi kana tatizo gani?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Zitto na swali toka kwa follower wake!

    Muacheni waziri mtarajiwa wa JMT apumue.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kweli CHADEMA Yaweza Kuiangusha CCM Kalenga? Namba Hazisemi Uongo...

    Mwanasheria angefika mbali kuliko huyu mama.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mpezi wangu hataki tufanye mapenzi kwenye Taa.

    Hahahaa.. Kwa hiyo niugegede mwanga mkuu? Mchana anadai joto ingawaje tunakutana kwenye lodge zenye full Ac.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mpezi wangu hataki tufanye mapenzi kwenye Taa.

    hahahaaa.. She's portable by the way
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mpezi wangu hataki tufanye mapenzi kwenye Taa.

    Mimi sifumbi macho. Hua nakodoa mpaka dakika za nyongeza
Back
Top Bottom