Zitto na swali toka kwa follower wake!

Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
512
140
Ni wengi tulipenda kujua mtizamo wa Zitto juu ya matokeo ya uchaguzi mdogo wa jimbo la kalenga

Yeye kajibu "sina maoni yoyote"

Umejifunza nini hapo!?
 
Naona kama anakaharufu ka kicuf cuf amekuwa akijipendekeza sana kwa prof
 
Naomba watu wamuache zitto, wajumbe wa bunge la katiba wanahitaji muda wa kusoma na kutafakari rasimu ya 2 ya katiba
 
Nionavyo mimi kiwango cha Elimu kimeshuka hasa ukizingatia sifa za walimu waliopo , miundo mbinu tuliyonayo na utekelezaji wa mipango tuipangayo kuhusu Elimu.

Kama vigezo vya kupanda kwa Elimu ni idadi ya wanaojiunga katika ngazi furani ya elimu basi Elimu ya Tanzania iko juu mno kulinganishana huko nyuma.

Angalia matokeo ya kidato cha nne kila mwaka tumekuwa na karibu asilimia 80 ya wanasemwa wamefaulu kuwa na daraja la nne.Daraja ambalo hata afanyeje labda ataenda ualimu kama ambavyo tumefanya miaka ya 90 na mwanzoni mwa mwaka 2000.

Madarasa yapo watoto hawasomi kwa kukosa walimu hiyo Elimu itapandaje, ili tendo la kujifunza liweze kufanyika ni lazima mwalimu awepo na mwanafunzi pamoja na mabo mengine kadha wa kadha wataalamu wa elimu wanaijua.

Tutaendelea siku nyingine.

Asante.

Mbona hujamuuliza Slaa au Mbowe inaonekana unamkubali sana Zitto
 
Haaahaaa hebu muacheni Zitto!

Si mlisema amekwisha sasa mbona kila anachoongea kimekuwa story!
 
Unaenda kumuhuliza zt maswala ya kalenga kamulize. Mbowe slaa na msigwa wakupe maoni ya wao ndio walibeba chopa zt mulize maswali ya kitaifa atakupa jb
 
Kuanguka kwa CDM katika uchaguzi mkuu hakuepukiki!

Usije ukasema kupgwa kwenu Kalenga,jamaa anahusika!!

Bwana Deo Carolina, Zitto Kabwe anazo destructive power za kuiharibu CDM kweli lkn hana constructive power ya kuitengeneza.

Kwa kuwa CDM si chama hali mbaya km yaliyo mawazo yako, ishu ya Zitto itakoma na CDM itaendelea kuwepo. Kumbuka kuwa hapo zamani mlisema kuwa huyu bwana akitoka itakuwa mwisho wa chama kwani yeye ndio A-Z ya CDM (mkiwa na akili ileeee ya Mrema na NCCR) . Lkn sasa nafikiri mmeshafahamu kuwa hana cha kuitisha CDM linapokuja suala la ujenzi zaidi ya kutishia kubomoa.....na ndio kazi ya Shetani. Kama anaamini kweli ana uwezo km wa Mungu, si aumbe ulimwengu wake
 
Ni wengi tulipenda kujua mtizamo wa Zitto juu ya matokeo ya uchaguzi mdogo wa jimbo la kalenga

Yeye kajibu "sina maoni yoyote"

Umejifunza nini hapo!?

Hata mimi angekuwa na maoni ningeshangaa, sana sana kama ni maoni angetoa kwa CCM na so kwa CDM!!! Ni mwanachama wa mahakamani kwa hiyo hawezi kukisemea chama. Aliweka pingamizi ili angalao apate mafao!!! Ha ha ha chezea CDM weye.
 
Kuanguka kwa CDM katika uchaguzi mkuu hakuepukiki!

Usije ukasema kupgwa kwenu Kalenga,jamaa anahusika!!

Kalenga hawajitambui wapiga kura walewale na tena walipungu ingekuwa idadi ya wapiga kura imeongezeka halafu ccm ikashinda hapo ungekuwa umenena lakini leo hii watu waliojitokeza huwezi kuwalingalisha na 2010 halafu unasema cdm wameangukia pua tena nawapongeza cdm kwa kuongeza idadi ya watu kwenye kura zao zaidi ya zile za 2010
 
Umuhimu wa Zitto kalenga unaonekana na c kalenga tu mpaka Chalinze watamkumbuka na bado 2015 watakapo poteza viti vingi vya ubunge.
 
Back
Top Bottom