Recent content by Shekel Empire

  1. S

    JamiiForums Tanzania Chupa za kopo sealed zinahitajika haraka sana

    Kwa yeyote anayejua sehemu au kiwanda kinachozalisha chupa za kopo sealed anijulishe manake ninashida nazo haraka sana;nahitaji za nusu lita na lita moja;kama mtu anajua na bei ya jumla itakuwa nzuri sana
  2. S

    JamiiForums Tanzania Asali mbichi inapatikana kwangu

    Nauza lita 20 kwa shilingi 140000;ni asali nzuri ya nyuki wakubwa kama unahitaji mzigo basi tuwasiliane kupitia no hii 0688161818 niko Makambako -njombe
  3. S

    JamiiForums Tanzania Pata Asali mbichi kadili unavyotaka,nauza kuanzia lita 100 nakuendelea

    Kulingana na kupanda kwa gharama kuzalisha asali;kwa sasa nauza lita 20 kwa shilingi 140000 ni asali nzuri na mbichi ya nyuki wakubwa;kwa anayehitaji mzigo tuwasiliane kupitia no hii 0688161818 mi niko Makambako-Njombe
  4. S

    JamiiForums Tanzania Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

    Mtoto wa kiume ni marufuku kumpigia magoti demu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

    Mtoto wa kiume unakaa geto kwa demu wako;halafu uko poa kabisa huna mpango wa kutoka;jua ile geto kuna mwanaume analipia kodi siku akija huyo demu atakuita kaka
  6. S

    JamiiForums Tanzania Asali mbichi ya nyuki wakubwa na nyuki wadogo inapatika kwangu;nauza bei ya jumla

    Karibuni sana tufanye biashara;asali ya nyuki wakubwa dumu la lita 20 nauza 120000/= ;asali ya nyuki wadogo dumu la lita 5 nauza 75000; niko Makambako - Njombe; kama unahitaji mzigo nitafute kwa no hii 0688 16 18 18;mzigo unapatikana wa kutosha
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya Biashara ya kuuza Asali..

    Kama unahitaji asali mbichi ninayo ninauza 120000 kwa dumu la lita ishirini;kiasi chochote unachohitaji utapata;niko Makambako-njombe;Mawasiliano 0688161818
  8. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Hata mimi hiyo biashara naifuatilia kwa ukaribu sana;mi niko mkoani ila kama uko dsm nenda pale maeneo ya Tazara kariakoo ulizia jamaa mmoja anaitwa LALAN ni supplier mkubwa sana anasupply nchi nzima;
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hii inamaanisha nn kwa demu

  10. S

    JamiiForums Tanzania Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

    Hayo maumivu yanakuwaje;mgongo unauma kwenye pingili au unawasha?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Fanya biashara kutoka china

    Kuwa bayana unajihusisha na biashara ya bidhaa gani manake umetuacha njia panda
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kinyaa cha tongue kiss

    Ni kazi chafu but lazima mtu aifanye;
  13. S

    JamiiForums Tanzania Dr Dre Overtakes Jay Z, Becomes Second Richest Rapper In Hip Hop

    Hao jamaa wote nawakubali sana;nakumbuka kuna kipindi didy aliumwa ugonjwa wa kukosa usingizi sababu alitumia takribani mwaka mzima anagonga kazi usiku na mchana hivyo akawa kama hana usingizi tena ila ali make mo monet ndo mana yuko juu;
  14. S

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

    Wabunge wa upinzani wameamua kutoka nje baada ya kuona mijadala ya bunge inajadiliwa kinyume na matakwa ya wananchi.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli. Mashemeji wengine nuksi tupu

    ilibidi umpe kisago umuulize amefikaje hapo
Back
Top Bottom