Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Hizi story zinapatikana kwenye magazeti ya udaku ya ulaya, too fictional anyway poa kijiwe kichangamke
Safi sanaaaa
I dont want to believe kuwa umeamini hii fake story, yani kuna sehemu ziko nyingi kweli uongo mtupu
Huenda ikawa ni story lakini kwenye maisha ya kawaida haya mambo yapo tena sana,mie kuna kisa kimoja cha hivi niliwahi kukishuhudia@asprin@jerrymsigwa
Mi sijapinga kwamba mambo ya watu kumegana na mashemeji zao yapo. Ila napinga mtiririko wa hii riwaya kuwa ni kisa cha kweli mpaka watu wanaamini na kumpa pole na wengine kumzodoa.
Hahhaha...Haya Babu nimekuelewa.
Heshima zako babu
Huenda ikawa ni story lakini kwenye maisha ya kawaida haya mambo yapo tena sana,mie kuna kisa kimoja cha hivi niliwahi kukishuhudia@asprin@jerrymsigwa
hahahhahahaha, we acha tu babu. Hadithi hii nimeipendaHata wewe umeingia mkenge kwenye hii riwaya. Maskini rafiki yangu wewe.
hahahhahahaha, we acha tu babu. Hadithi hii nimeipenda
Na kweli maana ni mwongo wa kutukuka!Huyo jamaa akitulia utunzi wa hadithi za mapenzi atauweza. Uongo mwanzo mwisho.
Umeona eh? Hadithi zimewashinda vijana.
Na chumvi hii niingie chaka kirahisi hivyo? Naona vijana wanapeana fiksi..
Ndo nini kunipotezea kule mtaa wa pili?
Baada ya mke wangukunitambulisha yule shemejihisia za mapenzi zikaanzakunishika kwa kasi ya ajabu.
Nikajiapiza lazima nihakikishenampata kwa gharama yoyoteile.
Shem wangu yule kiukwelikaumbika maana guu guu hipshizoo na kwa upande waucheshi wake mimi sisemi kitu.
Basi nikaidaka namba yake nakuanza kumpa manjonjo nabaada ya muda mtoto akatiatimu na kuendana na matakwayangu yaaani kwa kifupiakasalimu amri.Akaniahidi tukutane hotel ilianipe furaha nami sikuwa na laziada zaidi ya kumpa fedha ilisiku ikifika nimkute kunakochumbani.
Siku ikafika mtoto akaniambiayuko kunako hoteli na mienikaenda na kabla ya kuingiahotel nikaona bora nipige vilobakwanza vinitoe nishai na kunipamaujasiri.
Nikavipiga weeee kisha nikaanzakuona naishiwa nguvunikamwomba twende tukajilievyetu.
Akanichukua na kunilazakitandani na akaniambiaanaenda kununua maji hotelnna kwa kuwa nilishajichokea namikonyagi nikalala nanakumbuka usiku nikaamkakumpa gemu moja tafu sana naakanisifia na tukaendelea kulala.
Asubuhi naamka niwashe taa nakwenda chooni nilishangaakuona kumbe pale hotelininililala na mke wangu.
Mke akashtuka na kusemambona umeduwaa nikakaakimya kwani nilimdanganyanaenda morogoro kikazi kwasiku moja ana nikaanza kuhisikuwa kuna ka mchezo pale.
Nimechanganyikiwa na sina chakusema maana naona wamenipawakati mgumu kwa kunitegeamtego huu.Sijui nifanyeje nimedata..i hatemashemu wote.