Hii inamaanisha nn kwa demu

Hii inamaanisha nn kwa demu

Kuna kipindi nilisumbuliwa sana na panya nyumban kwangu.sasa siku moja niliumia mkonon nikachukua majivu nikapaka kukata damu.Mabaki ya majivu yalikuwa juu ya meza,kuamka asb tukakuta panya 2 wamekufa!Basi usiku uliofuata tukaweka tena,asb tukakuta wamekufa!Nikajua tumegundua dawa ya panya.Baada ya wiki ktk maongezi na jiran nikajua yeye ndiye aliyekuwa akiweka sumu ya panya kwake,wanakuja kufia kwangu!

Heri lee,wakati mwingine UDHANIAVYO SIVYO.

danganya totoe
 
Si lazima wote tuanzishe thread,unaweza kusoma na kuchangia za wengine tu!
 
Kuna kipindi nilisumbuliwa sana na panya nyumban kwangu.sasa siku moja niliumia mkonon nikachukua majivu nikapaka kukata damu.Mabaki ya majivu yalikuwa juu ya meza,kuamka asb tukakuta panya 2 wamekufa!Basi usiku uliofuata tukaweka tena,asb tukakuta wamekufa!Nikajua tumegundua dawa ya panya.Baada ya wiki ktk maongezi na jiran nikajua yeye ndiye aliyekuwa akiweka sumu ya panya kwake,wanakuja kufia kwangu
hahahahhahahahahaahahhahaahaahhaha;duh ni hatari sana
 
mkuu tangu juzi post zako tete sana,unajaza server na kusabisha topic zingine kuonekana za zaman na kufanywa invalid

Natarajia after few days utapost uzi na wew about ur newmchuchu hw good he is?
 
Natarajia after few days utapost uzi na wew about ur newmchuchu hw good he is?

hhaahaha mtena nina kifua mimi,siri za ndani zinabaki ndani wewe ushawahi pigwa kibuti?najua hutasema ila imagne kama hicho tu husemi wakati ni jambo la kawaida iwe mimi niseme mambo ya ndani
 
Limeleta mgogoro mkubwa swali hili
Hivi ukiona demu anakuangalia saana na kila mki kaa na mkikutana anakuangali tu inamaanisha nn


Wkt yy anasukwa nywl kibarazani, ulilala pembeni yao, ukaota unagegeda - ukapiz! Anakuangalia hapati picha ulivokuwa unakakamaa pale kibarazani!
 
Back
Top Bottom