Great thinker naomba tusaidiane ushauri me nna kaka yangu ameoa huu mwaka wa tatu ndo hakuna mtoto,wadogo zake alowatangulia kuoa wote sasa hv wanawatoto na yy umri ndo unazidi kwenda maana ameoa akiwa na miaka 32 mpaka sasa hv ana 35,wamehangaika kila aina ya dawa kumtibu mwana
ke hili aweze...
Naomba ushauri
Kuna mdogo wangu alivunjika mguu tangu 2011 amewekwa chuma na sasa hivi yupo vizuri anatembea hata saa 2 na hasikii maumivu. Yeye anataka kutoa, nikiomba ushauri watu wananiambia nimuache nacho,
Nimeona nilete kwenu great thinker nipate mawazo yenu nikamtoe, nisipomtoa atapata...
Najua kuna watu mlitoka musoma,mwanza kwa ajili ya interview ya tra na leo tokeo limetoka aibu hila mckate tamaa zikitangazwa ombeni hla me nssf,tra,pspf hela ya kutuma maombi bora niende kwa mabwenga.
Kweli bro mbwana alikuwa moro hata mm nilikuwepo na watoto wa keko wengi tu,hila me nnavyomjua mbwana hawezi kukubali kubebeshwa madawa,inawezekana akawa amebebeshwa bila kujua coz jamaa ni muoga sanaa
Wengne vichwa vyao vimejaa udini,mambo yameshapita tugange yajayo km kuuwawa wameuaw masheikh wangapi mbona kila cku hamuandiki ile risasi alopigwa ponda angekuwa mchunganji forum zote zingejaa mara kapigwa na fundi seremala leo mwanajeshi huyo huyo mchungani mmoja kauliwa.
Huyo kamanda hana siri yoyote ya maana coz huyo mwanajeshi alikuwa mkufunzi katika kitengo cha it,kakimbia na mitihani na waliyokuwa na course work ndogo wamefudahi paper itarudiwa.
erikali ya Marekani imetangaza kukubali ombi la Pakistan la kufanya mazungumzo kuhusiana na mashambulizi ya ndege zake zisizo na rubani nchini humo. Hayo yamethibitishwa na kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo katika mahojiano na gazeti la Nawaiwaqt la Pakistan...
Viongozi wa afrika wanapenda kusaini mikataba hovyo haya ndiyo madhara yake hyo mahakama nchi za ulaya nyingi ikiwemo us hawajasaini kuitambua ndiyo maana wanafanya wanavyotaka,icc haiwezi kuwashitaki mnabaki kulalamika wanatuonea viongozi wa afrika inabidi muwe mnasoma mikataba na mjue madhara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.