Recent content by Sheffer95

  1. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Naona zama za kumuomba shemeji yenu awaongezee mpunga zimepita njooni tulime nyanya

    Watumishi leo kama sio wao yaani hata hela za sure zenu za talgwu na tughe, cwt hamna sio
  2. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumejifunza nini kwenye vita ya Iran na Israel

    Mvua inaweza ibwa kwa njia ya teknolojia
  3. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Naona zama za kumuomba shemeji yenu awaongezee mpunga zimepita njooni tulime nyanya

    Wafanyakazi wa umma walihongwa sana katika awamu zilizopita. Ikafika kipindi wanaomba ongezeko kwa shemeji yao na kiukweli aliwapenda na kuwasikiliza. Mfano msemo wao maarufu wa "SHEMEJI UNATUACHAJE" Zama zimebadilika sasa hizi ni zama za mikausho mikali na kila mtu apambane kivyake. Msijali...
  4. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Weekend yako inaendaje Mdau?

    Itumie vizuri, kupanga mipango yako endelevu, kupumzika, pia kukutana na ndugu jamaa na marafiki
  5. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Weekend yako inaendaje Mdau?

    Usiogope hayo ni mapito tu, kuna muda utafika muda Mungu atakubariki mpaka utajishangaa. Usikate tamaa, kuwa na subra pia Kumbuka nyakati nzuri na mbaya zote Mungu ameziweka kupima imani yetu
  6. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Weekend yako inaendaje Mdau?

    Habari wadau, ndugu, jamaa na marafiki. Je weekend yako inaendaje, share nasi kidogo Weekend yangu kiukweli imeanza vizuri na taratibu, nimeanza kwa kwenda kutembelea kidogo miradi yangu, ambayo sikupata nafasi ya kwenda kwa muda kidogo. Pia baada ya hapo nimepata wasaa wa kupanga mipango ya...
  7. Sheffer95

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A serious single man is needed age btwn 33 to 42 yrs old

    Hello Prisha Niko hapa kama utakuwa interested kuwa mchepuko wangu until utakapo pata mtu wa kukuoa ili usiteseke coz nishaoa. 1. I'm Christian, tall and black 2. I'm a family man tayari nina mke na watoto 3 + nishafanya vasectomy so usiwaje kuhusu kukupa mimba 3. I own my own businesses and...
  8. Sheffer95

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka unawaza hapo nyuma ulikosea wapi? Part[2]

    Daaah ungeweka na link ya ile ya kwanza ili tukumbushie jinsi ulivyokimbia jiji la Dar baada ya kugonganisha mademu😄
  9. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutoka Msumbiji nikiwa sina kitu nikarejea Tanzania nyumbani safari mpya nyingine ikaanza

    Je wajua Maana ya neno pongezi ni pole na hongera. Ila kijana una moyo soft sana kiasi kwamba hauwezi handle mafanikio makubwa kwasababu yanahitaji moyo mgumu mno, na wewe una moyo uliojaa upendo sana kupitiliza Ushauri wangu 1. Kama kweli una nia ya kutoboa, tafuta washkaji zako na ondoka...
  10. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Nyuzi za 'true story' zilizowahi postiwa hapa JamiiForums

    Aiseee hii itakuwa nzuri sana mngetag hapa chini ili iwe rahisi wadau kuiona
  11. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Nyuzi za 'true story' zilizowahi postiwa hapa JamiiForums

    Mm ninazo nyingi sana sema siwezi kuandika sana yaani ni mvivu. Mfano natamani niwahadithie "jinsi rafiki yangu wa muda mrefu alivyonitapeli hela za kununua mpunga morogoro na kunifanya nifirisiwe na bank😄" Nyingine ni " Nilivyotapeli na network marketing mpaka kutishiwa na bastola ba...
  12. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Nyuzi za 'true story' zilizowahi postiwa hapa JamiiForums

    Habari wanaJF, ninaomba kwenye uzi huu mtume link za nyuzi zote za stori za kweli zilizowahi kubamba hapa JamiiForums Mfano ile stori ya khumbu ya konda msafi, stori ya dereva Uber na mwanamke aliyebadilisha maisha yake n.k
  13. Sheffer95

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu nilio ukubali ndo huu

    Hapa karibuni nilileta thread inayosema " Hivi wanaume wenzangu mlifanyaje" ukweli niliokuja kuujua ni kwamba kumbe yule mwanamke niliyetaka kumfanya mchepuko anafahamiana na mke wangu. Na kwakifupi ana muheshimu sana kwasababu huko nyuma kidogo mke wangu aliwahi msaidia kum connect mahali...
  14. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania HIvi wanaume wenzangu mlifanyaje?

    Unakuta una mtaka mwanamke umfanye mchepuko wako na umpe maisha ila anakukataa. Lakini unapata stori anatoka na wanaume za watu, ambao umewazidi kila kitu kuanzia maisha, n.k na anateseka tu kila siku ila wewe ukimwambia umfanye mchepuko na umuhudumie vizuri na kumjengea hakutaki? Hivi...
  15. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Baada ya kustaafu nifanye biashara gani?

    Kwenye kustaaafu kuna chamgamoto nyingi sana ambazo zinaweza kukuletea msongo wa mawazo Nakushauri fanya haya kama ukiweza 1. Usianzishe biashara ambayo itahitaji mtaji mkubwa au nusu ya hela uliyonayo na hujawahi kuifanya hiyo biashara 2. Kama unaweza fungua akaunti nyingine iwe kama fixed...
Back
Top Bottom