Recent content by Sheedhan Mwanza

  1. S

    Tupo karne ya 21 yani miaka 3000 duniani wamisha pita Ma Pope 265 na huyu aliyopo ni wa 266 inakuwaje hamna hamna Pope mweusi (mwafrika) hata 1 tu.

    Kama ni mroma aende akalalamike kanisani Na kama si mroma yeye linamuhusu nini?? Mimi pia nahisi anataka kuibua mjadala ambao hauna faida Ni mawazo yangu tu wandugu mnisamehe Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Sichangii harusi wala kutoa sadaka kanisani

    Kwa nini kanungila?? Mimi ni imamu Lakini nionavo sadaka ni muhimu sana ya kanisani au msikitini Japo mchango wa harusi nayo ni sehemu za sadaka lakini inaweza kununua khamru Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    Sichangii harusi wala kutoa sadaka kanisani

    Acha ubahili wa kijinga huo Toa sadaka wewe hilo ndio muhimu sana Ama michango ya harusi hiyar yako wewe si tayari umeshaoa? Kwani una mpango wa kuongeza mke ili na wewe uchangiwe? Kama una binti subir akiposwa wambie mahar mil 5 na wakitoa hapohapo muozeshe haraka kablahujazila hizo pesa Na...
  4. S

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Mzee mimi niliwah kusikia dawa hiyo ipo Lakini sikumbuki wapi!!!! Tajitahid kesho kumuuliza jamaa yangu mmoja Weka namba yako ya simu na ulipo kesho takugongea uzi kukujulisha Kila jambo lina mwanzo na mwisho maadamu umeonyesha nia ya kutaka kuacha nina imani utaacha ndugu Sent using Jamii...
  5. S

    Nahisi kuua mtu asubuhi hii, naomba ushauri wenu...

    Ni kweli kuna tatizo nyuma ya pazia Lakini ukweli anaujua mwenyewe Ila nakushauri kama nyuma ya pazia hapako sawa tumia na mdindadinda Nione private nikupe hata dozi moja Na akikuita mbwa tena ujue huyo hakufai Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    Nahisi kuua mtu asubuhi hii, naomba ushauri wenu...

    Hii imenichekesha!!!!!!!!!!! Mzee humu kuna ushauri pia na mengine vumilia Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    Nahisi kuua mtu asubuhi hii, naomba ushauri wenu...

    Kama mkeo kakir wewe ni mbwa!!! Muulize na yeye ni mbwa jike? Mama mbwa huoa mbwa mwenzie Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    Msuya auction mart acheni utapeli

    Wengi wa madalali wako hivo!!!!?? Pole ndugu yangu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    Kashfa ya ngono (Sexual Abuse), ndani ya Kanisa Katoliki: Ni nini tatizo?

    Hahahaaaaaa!!!!!! Acheni kuwasema vibaya watumishi wa Mungu! Mimi nina hakika kuwasema vibaya hawa masister ni uzushi tu Kama kuna mtu ana ushahidi wa uhakika sio wa kusikia sikia tu kama wanavosikia na kuhadithia basi iwe kweli Lakini kila mmoja akihadithia ataishia kusema tunasikia Hivi ni...
  10. S

    GE2020 Nani anapaswa kumrithi Rais Magufuli?

    Uangalieni kwanza huo muungano ni wenu?? Mmeungana?? Au mmeungwa?? Ndipo muanze kujadili urahisi mtaupataje kama muungano ni huu nyinyi ni umakamo tu mpaka mwisho wa Tz Ni fikra zangu ndugu zangu wa Zanzibar mnisamehe
  11. S

    Baada ya kuwekwa mahabusu ugonjwa uliokuwa ukimsumbua mbowe kila ikifika siku ya kwenda mahakamani sasa umepona?

    Swali jingineeeeeeeeeee Majibu mengineeeeeeeeeee!!!!! Kama mashariki na magharibi
  12. S

    Baada ya kuwekwa mahabusu ugonjwa uliokuwa ukimsumbua mbowe kila ikifika siku ya kwenda mahakamani sasa umepona?

    Dah!!!!!!!! Maswali mengine hayajibiki na ukijilazimisha kujibu utapata O
  13. S

    GE2020 Nani anapaswa kumrithi Rais Magufuli?

    Urais wazanzibari sahauni mtapata makamu hata miaka 50 ijayo Tangu mzee Ally mpaka leo hakuna cha Uzanzibari wala nini Kaingia mkapa wa bara kaja JK bara Sasa mzee Magu bara Na ajae ni bara Muhimu Mungu atuletee rais mwenye imani ataewapenda raia wake, haijalishi dini gani, Muhimu kwetu vitu...
  14. S

    Saudia Arabia yaruhusu Tamasha la muziki

    Ktk maneno ya kijinga niliyowahi kuyasoma ni haya Dah!!!!! Jamaa sijui anaelewa nini kuhusu sheria huyu na kuifataa
Back
Top Bottom