Tupo karne ya 21 yani miaka 3000 duniani wamisha pita Ma Pope 265 na huyu aliyopo ni wa 266 inakuwaje hamna hamna Pope mweusi (mwafrika) hata 1 tu.

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
15,795
28,450
historia inaonyesha kuna Ma pope 2 waliwahi kuzaliwa Afrika lakini hawakuwa black-waafrika na katika kupitia historia za hawa Baba watakatifu hamna pope mweusi hata 1ni kwa nini?.
naombeni waromani mnfafanulie au huwa kuna vigezo ambapo watu wa rangi fulani wana be excluded kwenye mbio za kuwania upapa.
 
Weye ni mroma? Waroma wenyewe wa Afrika wamelalamika? Uchonganishi huu.
 
historia inaonyesha kuna Ma pope 2 waliwahi kuzaliwa Afrika lakini hawakuwa black-waafrika na katika kupitia historia za hawa Baba watakatifu hamna pope mweusi hata 1ni kwa nini?.
naombeni waromani mnfafanulie au huwa kuna vigezo ambapo watu wa rangi fulani wana be excluded kwenye mbio za kuwania upapa.
Kwan kwenye Bible kuna Mtume/Nabii wa kutoka Africa/Mweusi....?
 
Ukatoliki huku haujafika muda mrefu kama kuna miaka kama zaidi ya 2000 toka kanisa lianze Bado kanisa laafrika halina muda mrefu kwenye tasnia ya imani hizi za kimagharibi.
Hapa Tanzania kuna kama miaka 150 ya Ukristo ukatoliki. Lakini kanisa Bado ni moja rangi au eneo anapotokea mtu sio hoja sana.
Pope wa sasa ametokea Amerika hayo nimaendeleo makubwa pia.
Kikubwa kumjua Mungu kuwa na upendo kisha kuurithi uzima wa milele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijui ila nijualo sa hivi afrika kuna wakatoliki wengi sana na labda kuzidi hata bara lolote lile
Kwel Africa kuna Wakatoliki wengi sana. Lakn hatuna viongozi wengi. Ndio maana bado tuna Mapadri wazungu. Wakati wa kupiga kula za nan awe Pope. Inakua ngumu kwa waafrica kupata hyo nafas maana co wengi.
 
Shukrani. Akikusoma vema jibu lake amepata.
 
historia inaonyesha kuna Ma pope 2 waliwahi kuzaliwa Afrika lakini hawakuwa black-waafrika na katika kupitia historia za hawa Baba watakatifu hamna pope mweusi hata 1ni kwa nini?.
naombeni waromani mnfafanulie au huwa kuna vigezo ambapo watu wa rangi fulani wana be excluded kwenye mbio za kuwania upapa.
Soma uzi wa ubaguzi wa faiza foxy
 
Back
Top Bottom