Recent content by shedcomb

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wa Dar

    Tuacheni tule bata kila mtu anaishi kulingana na mazingira yake yanavyoruhusu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nimefanyia kitendo hiki kwenye daladala

    Je na kama usingekutana naye kwenye daradara angeshindwa kujilipia nauli? Au aliota kuwa atakutana na wewe? Kila mtu anaishi kwa bajeti yake na pengine bajeti ndyo inayokamilisha ratiba za mtu hivyo hukuwa na kosa lolote waache hao wasioishi kwa bajeti walalamike
  3. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vya upinzani lipigieni kelele suala la kusitishwa ajira serikalini

    Bado endeleen kuisoma namba si mmeipenda wenyewe hayo ni matunda yake na matunda ya kufuata mkumbo na mpaka mnyooke mwaka huu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ahojiwa redioni, adai tumepata uongozi mbaya kuliko wa Kikwete

    Labda wewe ulitaka asemeje
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

    Wewe utabakia hivyo hivyo na mawazo yako yenye kila dalili ya kutawaliwa kifikra kumbe tz watu km wewe ndyo mnaifanya nchi yetu isisonge mbele
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hajulikani alipo, Dar hajafika, Jana walilala Dodoma

    Itajulikana tu kama yupo dar au dodoma ngoja tuendelee kusubiria
  7. S

    JamiiForums Tanzania Singida: Tundu Lissu(MB) akamatwa na Jeshi la Polisi, Kusafirishwa kupelekwa Dar haraka!

    Sasa lisu anakosa gani na wakati kafanya mkutano jimboni kwake
  8. S

    JamiiForums Tanzania Madhara ya ulaji wa chips

    Hahahahahahahahaha
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikikatiza facebook lazima nione post yako, halafu eti unataka ndoa

    Wape ukweli wao hao wamezidi sana washaona sifa kufanya hivyo
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananikera na hii tabia ya kutokupenda kuvaa nguo

    Hahahahahahaha
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananikera na hii tabia ya kutokupenda kuvaa nguo

    Hahahahahahahahahaha umeona eeh!! Huyo jamaa sijui alitakaje kwa kweli
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulikuwa unajiuliza wanawake wa mjini wanaishije?

    Mm hiyo elfu thelathini kwangu haipati kizembezembe hivyo kama anashida nayo kweli hata kesho yake nitamwambia aje kuchukua kwangu ila siyo nimtumie aje nimpe
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msajili wa Vyama vya Siasa akemea Tamko la CHADEMA

    Huyu naye katokea wap yani ngoja tusubirie ccm wakifanya mkutano tuone kama atatoa tamko tena
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Dr. Magufuli kukiuka agizo la Rais, kufanya mkutano Kahama

    Mtego mwengine huo lazima watao sababi hata km syo za msingi
Back
Top Bottom