Vyama vya siasa vya upinzani lipigieni kelele suala la kusitishwa ajira serikalini

NANGA WA KWATA

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
347
232
nichukue fursa hii kuviomba vyama vya upinzani nchi kulipigia kelele suala za kusitishwa ajira serikalini na watu kurudishwa nyumbani walioajiriwa mwezi may 2016 bila malipo yoyote vyama vya upinzani hasa chadema lipiganieni suala hili ambalo ni janga la kitaifa tangu inchi ipate uhuru hakijawahi tokea kitu cha namna hii acheni kukaa kimya watanzania wapo nyuma yenu kuwatetea
 
Endeleeni kushangilia upuuzi!!!
 
Wabongo wengi ni Vila.za huku wanamshangilia huku wanakatwa kwa kisu butu!!!
wapuuzi sana halafu basi wanaolia lia ajira humu wengi ni watoto wa masikini na ndo mabingwa wa kushabikia njano!Walie mpk wasage meno na km hawajapata D mbili na 3.5 chuo kikuu watakiskia kwenye bomba tuu
 
Haha, kazi kweli kweli!! Kuna mizee inavalia kofia za njano ila kutwa kuomba omba hela mpaka unasikia kinyaa!!
 
Siwapi nnao hata mtaani wako kimya siku hz toka hali ziwe ngumu
Sista angu mmoja juzi ananiambia najutaa kumpigia kura Mtu yule mbinafsi vile mpk Leo hatujui km hamna la maana!nilicheka sana.Maana enzi za kampeni mpk tuligombana
 
Wacha aisome namba!
 
Mi ndo kabisaaa!! Hata akate roho mbele yangu simpi kitu!!
 
Ajira sio lazima serikalini hata ajira binafsi ni ajira pia,na iwe ivi ivi mpaka baada ya miaka 3
 
Siwapi nnao hata mtaani wako kimya siku hz toka hali ziwe ngumu
Sista angu mmoja juzi ananiambia najutaa kumpigia kura Mtu yule mbinafsi vile mpk Leo hatujui km hamna la maana!nilicheka sana.Maana enzi za kampeni mpk tuligombana
hahahaaaa, namba inasomeka kama kawa
 
Back
Top Bottom