Ulikuwa unajiuliza wanawake wa mjini wanaishije?

Msichana akitaka PERUVIAN HAIR mpya wala
hahangaiki sana...Anaingia kwenye PHONEBOOK yake
anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba
hayawezi kumuangusha...AnaCOMPOSE Meseji
Tamuuu ambayo kila danga likipokea linahisi hiyo ni
Meseji yake peke yake. "Babe Mambo,Nimekumiss leo hadi nimekuota yaani
nimeamka So Wet I really miss my Pompolimpo,pole
na kazi mme wangu I wish I was there nikumassage
na Ulimi hadi usinzie..Leo Niko zangu tu home sijatoka
nlikuwa naangalia Muvi mara LUKU imekata hapa na
sina hata Salio.Una Sh 30,000 unitumie ninunue Luku babe wangu?Please maana kutoka mpaka ATM saa
hizi usiku.Love you xoxoxo"
Akimaliza Anatengeneza BROADCAST LIST
anawaweka yale Madanga humo halafu anatafuta
Option inaitwa SEND TO MANY,anafowadi lile meseji
TWAAAAP!!Anauchuna kama dakika 5 hivi,meseji za Muamala zinaanza kutiririka kutoka Ukonga mpaka
Tegeta,Sinza mpaka Makongo Juu
"Imethibitishwa umepokea 30,000 kutoka kwa Rajabu
Kistuli"
"Imethibitishwa umepokea 32,000 kutoka kwa Justine
Kipipa" Nusu saa tu kashakusanya LAKI 6 kesho yake
anaamka anaenda dukani kwa @heavenhairtz @
heavenhairtz
anaagiza Peruvian yake ya Inchi 6 jioni unamkuta
NEWS CAFE anawaka huku anakunywa Milkshake ya
Vanilla. We unabaki kujiuliza Demu wa 1st year ana iPhone 6s
kaipata wapi na Bodi ya Mikopo haijaingiza
BOOM,wenzio wana MABOOM BINAFSI wanaCLICK tu
hela kibwena.
Demu akiamua Kupauka ni Maamuzi binafsi tu,Wana
Mbinu hawa Viumbe Balaa,kufa njaa labda awe Mgoloko wa Tandahimba amekuja juzijuzi na Fuso la
Mafenesi ila watoto wa mjini hawaishiwi!
haya mambo yamenifanya nifikirie kuna VITZ nimekutana nayo leo imeandikwa "never trust women"nikajisemea kimoyomoyo kuwa huyu jamaa lazima alikuwa ana RANGE ROVER before this..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani
 
haya mambo yamenifanya nifikirie kuna VITZ nimekutana nayo leo imeandikwa "never trust women"nikajisemea kimoyomoyo kuwa huyu jamaa lazima alikuwa ana RANGE ROVER before this..
Hahahaha, Wewe ni great Thinker aisee
 
-Umefanya research kwa wasichana wangapi?

-Umewainclude hadi dada zako mkuu (just curious to know sijauliza kwa ubaya)

-Ukiwa kama Mwanaume umejuaje mbinu zote hizo wewe?

-Mbona unawadhalilisha wanawake? Kwakuwa sio wote wapo hivyo lakini umewajumuisha wote.

Nice moment.
Usiwatetee wakati macho yetu/yako yanaona, unajifanya Kipofu sio
 
haya mambo yamenifanya nifikirie kuna VITZ nimekutana nayo leo imeandikwa "never trust women"nikajisemea kimoyomoyo kuwa huyu jamaa lazima alikuwa ana RANGE ROVER before this..
Mkuu umetisha sanaaaaaa.
 
Msichana akitaka PERUVIAN HAIR mpya wala
hahangaiki sana...Anaingia kwenye PHONEBOOK yake
anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba
hayawezi kumuangusha...AnaCOMPOSE Meseji
Tamuuu ambayo kila danga likipokea linahisi hiyo ni
Meseji yake peke yake. "Babe Mambo,Nimekumiss leo hadi nimekuota yaani
nimeamka So Wet I really miss my Pompolimpo,pole
na kazi mme wangu I wish I was there nikumassage
na Ulimi hadi usinzie..Leo Niko zangu tu home sijatoka
nlikuwa naangalia Muvi mara LUKU imekata hapa na
sina hata Salio.Una Sh 30,000 unitumie ninunue Luku babe wangu?Please maana kutoka mpaka ATM saa
hizi usiku.Love you xoxoxo"
Akimaliza Anatengeneza BROADCAST LIST
anawaweka yale Madanga humo halafu anatafuta
Option inaitwa SEND TO MANY,anafowadi lile meseji
TWAAAAP!!Anauchuna kama dakika 5 hivi,meseji za Muamala zinaanza kutiririka kutoka Ukonga mpaka
Tegeta,Sinza mpaka Makongo Juu
"Imethibitishwa umepokea 30,000 kutoka kwa Rajabu
Kistuli"
"Imethibitishwa umepokea 32,000 kutoka kwa Justine
Kipipa" Nusu saa tu kashakusanya LAKI 6 kesho yake
anaamka anaenda dukani kwa @heavenhairtz @
heavenhairtz
anaagiza Peruvian yake ya Inchi 6 jioni unamkuta
NEWS CAFE anawaka huku anakunywa Milkshake ya
Vanilla. We unabaki kujiuliza Demu wa 1st year ana iPhone 6s
kaipata wapi na Bodi ya Mikopo haijaingiza
BOOM,wenzio wana MABOOM BINAFSI wanaCLICK tu
hela kibwena.
Demu akiamua Kupauka ni Maamuzi binafsi tu,Wana
Mbinu hawa Viumbe Balaa,kufa njaa labda awe Mgoloko wa Tandahimba amekuja juzijuzi na Fuso la
Mafenesi ila watoto wa mjini hawaishiwi!
Wakati mwingine wanaoenda kwa waha*a ni ma genius,....sasa pesa utoe, then bado kuna msururu wa watu kama 20....tofauti iko wapi hapo?????
 
Mm hiyo elfu thelathini kwangu haipati kizembezembe hivyo kama anashida nayo kweli hata kesho yake nitamwambia aje kuchukua kwangu ila siyo nimtumie aje nimpe
 
Kumpa ni kumpa tuuu
 
Msichana akitaka PERUVIAN HAIR mpya wala
hahangaiki sana...Anaingia kwenye PHONEBOOK yake
anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba
hayawezi kumuangusha...AnaCOMPOSE Meseji
Tamuuu ambayo kila danga likipokea linahisi hiyo ni
Meseji yake peke yake. "Babe Mambo,Nimekumiss leo hadi nimekuota yaani
nimeamka So Wet I really miss my Pompolimpo,pole
na kazi mme wangu I wish I was there nikumassage
na Ulimi hadi usinzie..Leo Niko zangu tu home sijatoka
nlikuwa naangalia Muvi mara LUKU imekata hapa na
sina hata Salio.Una Sh 30,000 unitumie ninunue Luku babe wangu?Please maana kutoka mpaka ATM saa
hizi usiku.Love you xoxoxo"
Akimaliza Anatengeneza BROADCAST LIST
anawaweka yale Madanga humo halafu anatafuta
Option inaitwa SEND TO MANY,anafowadi lile meseji
TWAAAAP!!Anauchuna kama dakika 5 hivi,meseji za Muamala zinaanza kutiririka kutoka Ukonga mpaka
Tegeta,Sinza mpaka Makongo Juu
"Imethibitishwa umepokea 30,000 kutoka kwa Rajabu
Kistuli"
"Imethibitishwa umepokea 32,000 kutoka kwa Justine
Kipipa" Nusu saa tu kashakusanya LAKI 6 kesho yake
anaamka anaenda dukani kwa @heavenhairtz @
heavenhairtz
anaagiza Peruvian yake ya Inchi 6 jioni unamkuta
NEWS CAFE anawaka huku anakunywa Milkshake ya
Vanilla. We unabaki kujiuliza Demu wa 1st year ana iPhone 6s
kaipata wapi na Bodi ya Mikopo haijaingiza
BOOM,wenzio wana MABOOM BINAFSI wanaCLICK tu
hela kibwena.
Demu akiamua Kupauka ni Maamuzi binafsi tu,Wana
Mbinu hawa Viumbe Balaa,kufa njaa labda awe Mgoloko wa Tandahimba amekuja juzijuzi na Fuso la
Mafenesi ila watoto wa mjini hawaishiwi!
Hlo kwangu walishakwama,hua wanaishia kufyonza tu na anauchuna miezi mi3 then unamsikia tena kaibuka eti mume wangu umenitupa..mi namjibu nilisafili ghafla nje ya nchi
 
Kuna wanawake wengine wajanja sana, akijua udhaifu wako kua unapenda kugegeda atakuchuna hatari, maana kila akitaka ela anasingizia ana hamu na dushe wewe unaona unapendwa kumbe anajua saa yoyote akitaka ela anapata na wewe ukitaka papuchi anakupa tuu, maana ashajua udhaifu wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom