Recent content by Shedangio

  1. Shedangio

    KWELI Baadhi ya Dawa za kutibu Malaria zinaweza kusababisha mzio mwilini, ikiwemo Kuchubuka Uume na Midomo

    Mimi pia ni mhanga wa hizi dawa unachubuka sehemu za siri na muwasho mkononi unatoka kama vishilingi Mie nikitumia malafin tu hali tete na mwanzo ilikuwa ndo dawa yangu hiyo.
  2. Shedangio

    African Satellite World and Sat Gear

    Wakuu naomba mwenye soft ware mpya ya azam Eutelsat 7C
  3. Shedangio

    Naomba msaada wa matatizo haya ya Suzuki Carry

    Recimmended oil ni ya kampuni gani? Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
  4. Shedangio

    Naomba msaada wa matatizo haya ya Suzuki Carry

    Ahsante kaka ila injini ya kwanza ilikuwa msumari hataripk nilikuwa nasema hii nguvu imezidi sio ya injini hii. Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
  5. Shedangio

    Naomba msaada wa matatizo haya ya Suzuki Carry

    Ahsante kaka Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
  6. Shedangio

    Naomba msaada wa matatizo haya ya Suzuki Carry

    Habari wataalamu nimenunua Suzuki carry(Kirikuu) Mara ya kwanza ilikuwa njema sana lakini baadae ikaanza shida ya kula oil baadae ikazungusha mkono. Fundi akashauri tununue injini t.nikafanya hivo.lakini hii injini mpya haina nguvu. Inachemka sana na inakula oil pia intoa moshi sana sasa je...
  7. Shedangio

    Hatimaye bondia kutoka Ufilipino avalishwa gloves zenye rangi ya bendera ya Tanzania ya jiwe Tanzania ya viwanda

    Dula mkali sana pia hata wale mabondia wawili nao wakali sana
  8. Shedangio

    Hatimaye bondia kutoka Ufilipino avalishwa gloves zenye rangi ya bendera ya Tanzania ya jiwe Tanzania ya viwanda

    Kwa suala la kupigwa mwakinyo kapigwaila kwa issue ya point mwakinyo kapata point nyingi maana ana ngumi nyingi ambazo amepiga usoni kuliko mphilipino
  9. Shedangio

    Hili kwangu limekuwa jaribu sana toka kwa wife; anataka kuniua

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  10. Shedangio

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Maana tumesikia kuwa ukitaka umeme hata km panahitaji nguzo 3 unalipa gharama ya umeme tu 27000.Jeni kweli?
  11. Shedangio

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari ya gharama ya nguzo kutolewa ni kweli?
  12. Shedangio

    IST nzima inahitajika ofa 6 million

    Wanakutisha mkuu, mimi ninayo nimenunua milioni 5 na iko poa sana na kwa mafuta usiseme inanusa tu. Ni kupata mtu mwaminifu tu.
  13. Shedangio

    Wataalamu wa umeme naombeni ushauri wa jambo hili

    Nataka kununua Jenereta ambalo lina uwezo wa kuwashwa pamoja na mashine ya kusaga HP 20 na kukoboa HP 15. Je, Diesel silent generator itatakiwa ya KVA ngapi? Naomba kuwasilisha
Back
Top Bottom