Recent content by She loves Me

  1. She loves Me

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Mwenye link ya game ya Simba v/s plateau naomba plz. Maan sion dalili ya kuonyeshwa
  2. She loves Me

    Lissu kwa mara nyingine amewathibitishia Watanzania kuwa hafai kuwa kiongozi wa nchi

    Umejarib kumsimulia na mama yako ukapata maon yake au umekuja mwenywe?
  3. She loves Me

    Wale ambao tulikuwa hatuna hela tangu kitambo ila sasa tunasingizia Corona tukutane hapa

    Beby unajua CCM wameua dili zang nyingi sana ila dua nene kwa LISSU mambo yatakaa sawer
  4. She loves Me

    Uchaguzi 2020 Polisi, NEC lini walimpa Lissu adhabu ya kutokusafiri?

    Hv unamjua Lissu kwel au nikuchanganyikiwa Yan babako unamwita kijana
  5. She loves Me

    Wanawake wengi mnafeli hapa

    Aisee mapenzi na mwnmk mwenye mizinga hayana aman kabisa, Yaan ni lazima wanawk watambue kua hyo ni dosari kubwa sana. Ni bora ukiomba hela utoe na muda kidogo wa mwenzawako kukutafutia. Hii itasaidia pia kupata msaada wa haraka pindi utakapokuwa na shida ya dharura. Nawasilisha Sent using...
  6. She loves Me

    Tag members wawili unaowakubali sana hapa JF

    Ningetajwa mbona ningeshangaa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. She loves Me

    Rais Magufuli, Haya mateso mnayowapa wagonjwa wa CORONA ni sawa na kuwapa hukumu ya kifo!

    Sasa nyinyi ndo hao wa mjin, sisi wa vijijn cjui tutaanzia wap Sent using Jamii Forums mobile app
  8. She loves Me

    Tuliambiwa kuwa kufikia wiki ya pili hali itakuwa hatari hii nayo wiki ya pili inaisha hali iko kawaida kweli media ni kansa ikitumika vibaya

    Ninaachijua mm hawakuongea kwa ubaaya bali ni kuweka tahadhari kwetu kama haitakuwa hvyo itakuwa vizur zaid. Lakn haina maana eti wao wanataka tufe Sent using Jamii Forums mobile app
  9. She loves Me

    Tupime uwezo wa Rais kupambana na majanga kwa Corona na Tetemeko la Ardhi

    Ni kaz kwel kwel, ila ndugu zangu tuutumieni huu mwezi wa ramadhan vizur Mungu atatujib Sent using Jamii Forums mobile app
  10. She loves Me

    Waziri Mkuu Majaliwa kwenye Corona Mdhibiti Makonda, Ni jambo linahusu uhai

    Ajira ngumu mjomba Sent using Jamii Forums mobile app
  11. She loves Me

    Kijijini wananiita Daktari

    Docta nina kaswali nataka kukuuliza maana tang jana sijielew et Sent using Jamii Forums mobile app
  12. She loves Me

    Kupendwa sana na mtu usiyempenda

    Havache kaka Sent using Jamii Forums mobile app
  13. She loves Me

    Dereva Mtanzania akutwa na maambukizi ya COVID 19 kwenye mpaka wa Tanzania na Uganda

    148 noted, ila M7 hajaonyesha ustaarabu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. She loves Me

    Udhibiti wa Corona: Upuliziaji dawa Mbagala haukuwa na tija

    Washamba tu haoo, we unaona kabisa wazungu( manguli ya tiba ) yanalia juu ya korona halaf boya mmoja tu analeta mzaha na vijisiasa uchwara. Inauma sana kuwa na vionvozi wajinga aisee hata uwaelimishe vip wao kiburi ndo best opt. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom