Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,664
- 22,256
Jijini Dar es Salaam upo utaratibu wa kupuliza dawa kudhibiti Corona, upuliziaji ulihusisha magari na pampu za mkono. Mbagala ni eneo lenye watu wengi na msongamano mkubwa lakini ulitumika unyuziaji wa pampu mbili za mkono!
Wanyunyuziaji wawili wanaotembea kwa miguu kitu walichofanya ni kunyunyiza kwenye mitaro tu na barabara!
Maeneo ya Kariakoo na Tandika tuliona magari yakipuliza mpaka kwenye maduka na magenge.
Wanyunyuziaji wawili wanaotembea kwa miguu kitu walichofanya ni kunyunyiza kwenye mitaro tu na barabara!
Maeneo ya Kariakoo na Tandika tuliona magari yakipuliza mpaka kwenye maduka na magenge.