Job Opening as Bartender for Africa Location
Vucadd Engineering Services Pvt Ltd
Job Description
We have opening as Bartender for one of the Africa based Restaurant in Africa
Location: - Tanzania - East Africa
Benefits: - Salary + Local Allowance+ Accommodation
About you: - Good command of...
hongera kwa wazo lako.. ila biashara ya maji sio rahisi kabisa..
kwanza maeneo yenye maji mazuri ardhini unakuta kila nyumba ya mwenye uwezo inajichimbia kisima na kuuza maji.. so ushindani mkubwa..
na eneo lenye maji ya chumvi ndio kuna faida ila lazima ufunge mtambo wa kuchuja chumvi...
Habari wadau..
Kiukweli tuheshimu sana viajira vyetu maana awamu hii imeondoa kiburi cha kuacha kazi ukachukue chako na uanze kujiajiri...
Ukipunguzwa kazi miaka hii na hukuwekeza mapema imekula kwako..
NSSF na PPF lao moja.. mafao hawatoi tena....
Japo NSSF wanazuga na miezi 6 ila ni kuzuga...
maisha magumu sio kwa wote.. hukuona mtu amefuturisha watu na kugawa I phone kwa kila mgeni...
kuna watu wana ma appartment na makampun kibao ila nao wanajifanya wanazuga maisha magumu ili wapate sababu ya kutoombwa hela
polisi huwa wanajiua sana nahisi kuna jambo linawatesa sana..
na hata baadhi ya mambo wanayowafanyia raia yanawapa stress sana hasa yale ya uonezi.
kiukweli kabisa kutoka moyoni mi binafsi sijawai kumuamini polisi yeyote na kushirikiana nae jambo lolote maana wengi wao ni wanapenda sana rushwa...
sasa mtoto wa mengi, dewji, bakhressa, lake oil, homeshopping, asas, moil, unataka wakasome wapi???
na hizo shule nafasi zinajaaa..
nchi hii kuna matajiri wengi sana wa kusomesha watoto hizo shule... japo maskini tupo wengi zaidiiii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.