kijieneo cha kuchimba kisima cha maji dsm

Nyakarungu

JF-Expert Member
May 1, 2011
472
375
Wakuu kwenye eneo aniuzie linalofaa kwa kuchimba kisima cha maji ya biashara Ili niuzie wakazi, eneo lenye shida ya maji hasa0754459572
 
hongera kwa wazo lako.. ila biashara ya maji sio rahisi kabisa..

kwanza maeneo yenye maji mazuri ardhini unakuta kila nyumba ya mwenye uwezo inajichimbia kisima na kuuza maji.. so ushindani mkubwa..


na eneo lenye maji ya chumvi ndio kuna faida ila lazima ufunge mtambo wa kuchuja chumvi ukitaka kufanya serious business
 
Kama unaweza kuingua ubia uchimbe kwangu tugawane mapato,eneo lipo buyuni kata ya chanika,
 
Kama unaweza kuingua ubia uchimbe kwangu tugawane mapato,eneo lipo buyuni kata ya chanika,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom