Recent content by Shatrughan Singh

  1. Shatrughan Singh

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupata maendeleo mazuri ya Lissu, sasa tunaomba tujuzwe maendeleo ya matibabu ya dereva wake

    Wamemficha maana akibanwa atawataja tu
  2. Shatrughan Singh

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupata maendeleo mazuri ya Lissu, sasa tunaomba tujuzwe maendeleo ya matibabu ya dereva wake

    Hayuko Nairobi huyo amefichawa hata simu hatumii kwa kuogopa vyombo vya usalama
  3. Shatrughan Singh

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lissu: Mange kufunguka

    Ni upungufu wa akili kuamini kila anachopost Mange
  4. Shatrughan Singh

    JamiiForums Tanzania Mrembo richaabra live interview on muosha rungu show!

    Astaghafilluallah naona ameona nyie wanawake mnafaida kaamua kujaribu kuonja rungu aone ladha yake, au mlimsimulia?
  5. Shatrughan Singh

    JamiiForums Tanzania Nakuzimikia sana MBITIYAZA

    Nduhu makoye ung'anike uyu ogukaya nangu?
  6. Shatrughan Singh

    JamiiForums Tanzania Mlipuko ofisi ya Mawakili, CCM yakaa kimya

    Ccm ndiyo fire? Au hiyo ofisi ni ya kisiasa?
  7. Shatrughan Singh

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislamu hii ni kweli!?

    Style yako ya kuandika na thread yako vyote ni vya kitoto.
  8. Shatrughan Singh

    JamiiForums Tanzania Simba SC yaanzia kileleni ligi kuu, yairarua Ruvu shooting 7-0

    Mkude anaugomvi na uongozi baada ya kuvujisha habari za simba kupigwa 7-0 huko south africa, ndiyo maana amepokonywa up captain wa timu
  9. Shatrughan Singh

    JamiiForums Tanzania Nakuzimikia sana MBITIYAZA

    Fisi Nyekundu umependwa huku.
  10. Shatrughan Singh

    JamiiForums Tanzania Pata picha lowassa ndio angekuwa ameenda kupanda kivuko

    Atapandaje kivuko mwenyewe? Labda apandishwe kama uwanja wa taifa baada ya lift kufa
  11. Shatrughan Singh

    JamiiForums Tanzania DAR: Ofisi za IMMMA Advocates zawaka moto!

    Wamejiripua kama Arusha
  12. Shatrughan Singh

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nani anaewatumikia wana Singida mashariki kwa niaba ya Lissu?

    Tangu wamchague hajaonekana badala yake anawatumikia wananchi wa shimoni huko central
  13. Shatrughan Singh

    JamiiForums Tanzania Kila press conference ya Tundu Lissu Lazima iache simanzi kwa..…

    Poa mkuu baadae maana huku ni alfajiri
  14. Shatrughan Singh

    JamiiForums Tanzania Kila press conference ya Tundu Lissu Lazima iache simanzi kwa..…

    Mkuu mimi siwezi kutoka huku ugaibuni na nina majukumu na familia, pia siasa sipendi, halafu viti maalumu ni kwakina mama tu, ila kwakeli chama cha upinzani huko hakuna kuna wa piga kelele ti.
Back
Top Bottom