Recent content by Shasa Courtney

  1. Shasa Courtney

    Muungano ukivunjika, Zanzibar kuwa 'Dubai ndogo'

    Wakuu nimekuwa nafuatilia huu mgogoro uliojitokeza kutokana na kero za Muungano kutotatuliwa mapema na naomba niseme kama kweli ikipigwa kura ya maoni kuamua kama tunautaka au hatuutaki wanaoukataa watashinda. Naomba wataalam mnaojua mambo ya economics mniambie hasara kiasi gani tutaipata kama...
  2. Shasa Courtney

    Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

    Sitashangaa akibwagwa chini maana JK hataki kabisa kumsikia lissu
  3. Shasa Courtney

    ZITTO, NAPE live on Radio One

    Kwa mara ya kwanza leo Nape kaongea kwa vitu vya maana, kazungumzia kuhusu kubadili mfumo wa uongozi la sivyo kila siku tutafukuza mawaziri. Mfumo umewapa nguvu makatibu wa wizara nguvu kuliko hata waziri husika.
  4. Shasa Courtney

    Anguko la January Makamba

    Huwezi kumlinganisha January na Zitto hata kidogo, mfano mdogo ni twitter. Wakati Zitto anakaribia followers 20,000 January hata 10,000 hajafika pamoja na kuwa na verified account.
  5. Shasa Courtney

    Africa Yagunduliwa Kuwa na Akiba Kubwa ya Maji

    Source: BBC Scientists say the notoriously dry continent of Africa is sitting on a vast reservoir of groundwater. They argue that the total volume of water in aquifers underground is 100 times the amount found on the surface. The team have produced the most detailed map yet...
  6. Shasa Courtney

    humu ndani mpo?

    Jamvi liko wazi karibu sana upate kahawa kabla ya kuanza mijadala na watu makini humu.
  7. Shasa Courtney

    Am new

    Karibu sana Jake ila dhungumdha kithwahili thie hatuenda shule.
  8. Shasa Courtney

    Uvaaji wa Magwandwa imekuwa ni fasheni?

    Natamani kumuona mtu kama Wassira ndani ya gwanda.. itakuwa kituko kama kuangalia Gods Must Be Crazy.
  9. Shasa Courtney

    Mbunge mwingine wa CCM ndani ya Nigeria kwa TB Joshua!

    Na tiba zikishindikana unatoroka bunge unaenda Nigeria kuombewa sio, how classy!
  10. Shasa Courtney

    Mbunge mwingine wa CCM ndani ya Nigeria kwa TB Joshua!

    Asante mkuu nilikuwa sijaikamata hiyo.
  11. Shasa Courtney

    Mbunge mwingine wa CCM ndani ya Nigeria kwa TB Joshua!

    Hahaa naona Lowassa kama Bekham, akigusa kitu basi kila limbukeni anakikimbilia. Nahisi waiting list huko Nigeria itakuwa full.
  12. Shasa Courtney

    Mbunge mwingine wa CCM ndani ya Nigeria kwa TB Joshua!

    Wanajamvi naona Edward Lowassa kafungua njia kwa wabunge wa CCM kuzidi kumwagika kwa TB Joshua kuombewa. Leo kupitia Emmanuel TV inayomilikiwa na Synagogue Church la Nigeria nimemuona Mbunge wa Ngara kupitia CCM Mh. Deogratias Ntunkamazina akifanyiwa maombi maalum akidai kwamba ana matatizo ya...
  13. Shasa Courtney

    Ephraim Mafuru aula Serengeti Breweries Limited

    Si nilisikia TTCL walikuwa wanataka kumpa kazi? iliishia wapi? Anyway hongera zake jamaa ni mchapa kazi sana ingawa kuna watu wanadai ni mzinzi lakini what matters ni mtu wa kazi na sio mjivuni.
  14. Shasa Courtney

    Mgao wa umeme umenifanya niwe mlevi

    Nakuunga mkono kabisa kaka. Mimi mwenyewe kila jioni ikifika lazima tupigiane simu na baadhi ya friends tunachagua sehemu gani ya ku-hang out, ingawa situmii pombe nawaona watu wengi wanaolazimika kunywa bia ili ku-buy time hadi ifike saa tano au sita warudi kulala. Asikudanganye mtu hata kama...
  15. Shasa Courtney

    Chubwi...!

    Haha hiyo ni nni tena? kama nimeisoma kwenye historia mambo ya zana zilizotumika stone age.
Back
Top Bottom