Uvaaji wa Magwandwa imekuwa ni fasheni?

Mi nadhani waige sera siyo mavazi ndio italeta tija na kunyanyua uchumi wetu au wana-JF unamsemaje?

Hawa jamaa hata Nyerere aliwambia hawajui yakuiga na ya kuacha.
 
08bennomalisa.jpg


Huyu ni pandikizi la Ridhiwani ndani ya UVCCM sasa sijui wanafanya kazi vipi na Nape nasijawai kusikia Nape akiongelea UVCCM yeye yupo Bizy kukusanya fedha za safari na ziara nchni nzima.

wakati Mweneyekiti wake anajaribu angalau azunguke Dunia nzima nchni zote naye anajitahidi azunguke Tanzania nzima kila wilaya nadhani atapata fedha nzuri sana.
 
waige tu hata wakitaka kuiga chupi (vikamba) wapige tu
ala in all ni kuwa wameshindwa kutuletea umeme
 
Hawana mtu wa kubuni mavazi na hawana mtu wa kutunga sera.mbunifu wao ni TAMBWE HIZZA teh teh eeeeee!ccm kwishney
 
Kujivua gamba inagusa aspect zote za maisha;uvaaji,uongeaji n.k the issue was chama kilikosa mvuto na inavyoonekana vijana walivutiwa na magwanda!tuache majungu ukweli ni kwamba Benno amependeza!!
Kweli kabisa mkuu,..mbona hata sera nyingi za cdm wameshazitumia tayari..CCM YALE MAZURI YENYE MASLAHI KWA TAIFA TOKA CDM YACHUKUENI TU MBONA SISI HATUNA SHIDA NA NINYI MKIACHA UFISADI WENU
 
chadema-vijana.jpg

John Heche BAVICHA


08bennomalisa.jpg

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Benno Malisa

Kwa CCM tunaelewa kuwa uvaaji wao ni kijani sasa salwa la kuvaa Magwanda limetoka wapi?

Nadhani CCM wanaendelea kudhibitisha kuwa CDM ndio inaongoza nchi kwasasa........mtaiga mpaka mpasuke msamba.....GO TO HELL CCM
 
CDM Tunapovaa magwanda tunajulikana kama Makamanda, sasa cjui Magamba wanajiitaje. Labda cjui the Green Guard or smthng.
Lile gwanda la Chadema tafsiri yake HAKUNA KULALA HADI KIELEWEKE......la Magamba HAKUNA KULALA HADI RASILMALI ZIISHE
 
Ujinga mtupu. Eti "salwa la kuvaa Magwanda". Halafu mijitu mizima inaingia na kuchangia kwa juhudi zote utadhani haina akili nzuri. Kudadeki!
 
Back
Top Bottom