ndani ya magamba "ATAKAYE KULA NYAMA NI MWENYE KISU KIKALI"
kuhusu kuwavua gamba hawa jamaa, magamba hawawezi kuthubutu, tangu wamekutana na mtanange ndani ya maskani ya RA igunga, Gharama waliyoitumia kulikomboa jimbo hilo ni kubwa sana, hivyo wakiyavua magamba mengine watafulia kwa kuwa plan...